Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

Na yeye utakuta anamtesa house girl wake.
Ni chain ilivyo.
Wengi waliopitia mateso huja kuwa watesaji wakubwa sana kwa wengine, sababu wameshaivaa ile roho chafu
 
😂😂😂Hukai sana lakini umemtetea kweli,, hongera kwa kumpenda ila unyanyasaji aliofanya kwa huyo binti ni alert tu kaa chonjo bado kuna maisha mengi huko mbele atakustaajabisha siku moja
No, unajua mtu ukushamuelewa unajua namna ya kukaa nae, sio kwamba nimemtetea lkn nmesema uhalisia kwa nilivyomuelewa, wanasemaga bora tatizo ulilolizoea kuliko tatizo jipya ambalo hujazoea, kuliko kuanza kuhangaika sasahivi kutafuta mwanamke mwingine wa kukaa na watoto na ndugu pale bora nniendelee na huyuhuyu nlomzoea na namna ya kumcontrol naijua. Ndo maana hata hapo juu nikasema hadi leo hajui kwamba ni mm ndo nilimtafutia kazi huyo binti sababu najua namna ya kusolve baadhi ya matatizo anayotengeneza ili kuepuka shida zaidi
 
Ni kweli, ila basi tuseme alimfanyia roho mbaya sababu alimdharau,

Huyu mama hata wewe ukija kunitembelea nyumbani hutoamini kama alimfanyia hivyo house girl, ni mkarimu sana na ndo maana hadi leo anakaa kwangu otherwise angekua kapangiwa tu geto kama wengine nlowazalisha.

Ndo maana nasema dharau yake ilipelekea akawa na roho mbaya kwa huyo binti.

Na pole sana kuhusu hio issue ya nguo, najua inavyouma na ndo maana kuna muda mimi kama mm nilimfanyia shopping huyo binti
Ni mkarimu sababu kwako ni kama mpangaji au uchumba sugu.
Ukitaka kuijua Tabia halisi ya huyo mkeo funga nae ndoa utaleta mrejesho ndo utajua ni malaika au ni shetani.
 
No, unajua mtu ukushamuelewa unajua namna ya kukaa nae, sio kwamba nimemtetea lkn nmesema uhalisia kwa nilivyomuelewa, wanasemaga bora tatizo ulilolizoea kuliko tatizo jipya ambalo hujazoea, kuliko kuanza kuhangaika sasahivi kutafuta mwanamke mwingine wa kukaa na watoto na ndugu pale bora nniendelee na huyuhuyu nlomzoea na namna ya kumcontrol naijua. Ndo maana hata hapo juu nikasema hadi leo hajui kwamba ni mm ndo nilimtafutia kazi huyo binti sababu najua namna ya kusolve baadhi ya matatizo anayotengeneza ili kuepuka shida zaidi
Dunia haina siri siku akijua jiandae sawasawa,,

Kuliko kuvumilia ujinga bora kuanza upya,

kwaheri kaka asante kwa mjadala msalimie ex maid
 
Hapana, hilo nakataa kwa herufi kubwa, ana hoteli pale makumbusho, binti zake wanaomfanyia pale ukifika tu utaona kwamba anawatreat vizuri.
Pale ni biashara vipi wa nyumbani kwake anawatreat vip.
Huwajui wanawake
 
Ni mkarimu sababu kwako ni kama mpangaji au uchumba sugu.
Ukitaka kuijua Tabia halisi ya huyo mkeo funga nae ndoa utaleta mrejesho ndo utajua ni malaika au ni shetani.
Ndo maana sioi huyu, sio kwake tu hio ni kwa wanawake wengi
 
Hua sielewi why most of the mothers wana watreat vibaya sana hawa mabinti, honestly hadi huruma kabisa.

Yani unakuta vitu anavyomfokea ni vya kawaida kabisa yani lakini anawaka ile mbaya.

Na ukikuta binti kaamua kua housegirl ujue kwao ndiyo mwajiliwa pekee anategemewa. Hua najisikia vibaya aisee

I do feel sorry for these girls.
 
Rulikaa na mfanya kazi aliyekuja akiwa mdogo kiumri Hadi anaolewa akiwa mikononi mwa mama
Mjomba akapita nae kaoa na hajutii kuwa na yule dada
Mwanza Moja mdada Hana makuu Hana michanganyo

Ukiwa na mfanya kazi asiishie kuwa mfanyakazi mchoree na raman ya maisha mbele aone na yeye ana future.
 
Zari la mentali kwa mwanamke…!!ahahaaa kwa maana kapata danga…

Embu funguo code mkuu kama professor J….ahaha ukute code ndo wewe
 
Kununua nguo watu wote ndani isipokuwa housegirl tu,,, hiyo sio dharau ni uroho uchoyo ambao kwa lugha moja ni roho mbaya

Utotoni niliwahi kuishi pahala nakumbuka nilifanyiwa hivyo familia nzima ya watu 17 walinunuliwa nguo na maza house isipokuwa mimi tu na ilifanyika kwa miaka 3 mfululizo, huyo binti alipitia maumivu sana
Kwann walikufanyia hivyo
 
Back
Top Bottom