Wanawake huwa wanapenda Wanaume wenye Mamlaka

Mimi pia ni mwanaume mwenye mamlaka kamili👇😁😁😁
-5940769622930340676_120_1.jpg
 
Mkuu kama huna pesa hauwezi kuwa mwanaume mbele ya mwanamke wa kileo , zaidi utaonekana una ukoloni wa kiboya tu na mnoko mwenye kupenda kubweka kama mbwa ,labda upate mwanamke mbaya wa sura na umbo ambae hana namna ndo unaweza mkoromea na ufukara wako , cha msingi tutafute pesa watoto wazuri wapo.
Mkuu ukishaweka hivyo akilini mwako hakika utakimbizwa mpaka akili ikae Sawa.

Ukishamhofia kuwa Ni mrembo Sana nikiwa na misimamo nitamkosa hapo unafeli chief,mwanamke akikupenda hata akiwa mzur vipi atakusikiliza Tu trust me bro.

Siku moja napita karibu na saluni ya kike walikuwa wanazungumza Kwa sauti,alisikika mmoja akisema " mwanaume ukimpenda akikwambia hataki kitu Fulani unaacha" na huo ndio ukweli kabisa.

Be a man no matter what,ikiwezekana asepe akuache lkn utakutana na Yule ambaye atajua nafasi yako kama mwanaume
 
Back
Top Bottom