Sababu kuu mbili zinazoweza kumfanya mwanaume asimsaliti mkewe

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
7,081
13,053
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80%
Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao.

Ila ukimuona mwanaume ambaye hacheat kwa mke/ mpenzi wake jua zipo sababu mbili kuu ambazo zinamfanya asiwe na mchepuko.

1. Mwanaume husika Hana pesa; Kawaida mwanaume akikosa pesa confidence yake huwa inashuka Sana.Yaani anakuwa mnyonge mnyonge na mawazo mengi Sana.

Kuwa na mchepuko bila pesa ni Jambo ambalo haliwezekani kabisa especially kwa mwanaume ambaye tayari ana mke. Mchepuko atakachokuwa anataka kwako zaidi Ni pesa tu na Wala sio Vinginevyo. Bora uwe unamlipia Kodi pamoja na kumpa hela ya matumizi yeye hatojali kuhusu mkeo. Mwanaume ukiwa haupo vizuri kiuchumi hutokuwa na confidence ya kutongoza wanawake.

2. Mwanaume aliyeshikilia Dini ipasavyo; Watu walioshikilia dini ipasavyo sijui ndo wanaitwaga walokole ama vipi I'm not sure about that.Ukimuona mwanaume ambaye hacheat mkewe basi jua huyo jamaa ameshikilia amri ya sita ( usizini) Kweli Kweli, Kama sio sababu ya Kwanza niliyoitaja hapo juu.
Watu walokole wana hofu na Mungu kwa hiyo sio rahisi uwakute wakivunja amri ya sita.
 
Kwa jinsi K zilivyo cheap miaka hii mwanaume kucheat ni rahisi sana. Anaweza asiwe na mchepuko ila akawa anachapa zile K za kupiga na kusepa au one night stand, kununua malaya au kuna ile kupiga kisela

Kuhusu kushika dini sana sio kigezo kutocheat. Washika dini wengi ni wanafiki, wanaume wasiocheat kwa sababu ya fear of God kwenye 1000 unaweza usimpate hata 1
 
Upo sahihi Kbsa mkuu
 
........kuna ukweli kwa kiasi kikubwa katika hili, hatupendi kucheat lakini hatupendi kuwa masikini, labda tuwe na hela na pia tushike dini ingawa inadaiwa kuwa tajiri kuuona ufalme wa Mungu ni kama ngamia kufanyaje sijui........
 
Back
Top Bottom