Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Jamani eeh hebu tuambizane, nn huwa kinawafanya wanawake kufall in love kwa wanaume?
 
hebu watueleze tuelewe ingawaje hisia tunazo kwa nini wanatusaka kwa udi na uvumba........................
 
Usipoteze muda wako, U'll never know with women
 
Mh leo pagumu napita2 jamani madada mpooo twasubiri majib yenu
 
napenda kusikilizwa,kuonewa huruma,kuwa protected,napenda kufikishwa kunako napenda mastercard tembo lol hapo sifurukuti lol
<br />
<br />
Mnawasikia?.??.!?
 
Hapana mi nataka nitofautiane kidogo na Maega, we just wanna know the things they primarily look kwa mwanaume. Hahahaa Master Card..... saafi!
 
mkuu usipoteze muda kujiuliza hilo swali as u'll neva get the answer sababu hata wao mabinti hawajielewi wanataka nini kwa wanaume pia hata wao kwa wao hawaelewani...... Mi sipendi kuwalaumu kwa ujumla wao ila nakubali tu kwa ujumla wetu kama binadamu ni watata sana... Siku utakapo pata mwanamke anayekupenda saana ndo utakuwa mwisho wa hilo swali coz honestly wala tusidanganyane mapenzi hayana formular, heartbroken zinatufanya tujiulize maswali mengi sana..... Calm down mzazi
 
Chukua tano mkuu!!
 
Back
Top Bottom