mimi napenda mwanaume acyependa kuongea na waschana bt mwenye uelewa hal ya juu, smart na anayenjal na kunthamin
Dushee la ukwel linalojua kaz yke na mapene kwa wing
nimeikumbuka hii nimebaki nafurahi tuKwahiyo hata kwa huyo uliyenaye kinachokupa ujasiri ni visenti vyako ?
Hata mkeo/mchumba wako hapa akiulizwa na mtu nini kinakufanya umpende MWALLA4REAL hatokuwa na jingine la kujivunia kwako zaidi ya visenti vyako?