Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

They just love,they were commanded to love and they seek ho to give what they
are told to do,to love!
As well men should do
 
With the above post.... Glad you are back...
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
jamani Adii,&lt;br /&gt;<br />
i feel so raha kuwa na watu wangu kama hivi just haya maisha tu.... Raiti ungeniona hapa nlipojibanza na kasimu kawatu utanionea huruma.... Hahahahaha lol&lt;br /&gt;<br />
Pamoja wangu.
 
People mmeamka poa? kwa wale walioamka tayari, so hivi tumejua hasa what do they want?
 
dada toeni mawazo yakujenga fikira za wanajamvini maana hali ni tete kwa wanaume wengi hawaju mnapenda nini ilinyie muwapende zaidi
 
mkuu usipoteze muda kujiuliza hilo swali as u'll neva get the answer sababu hata wao mabinti hawajielewi wanataka nini kwa wanaume pia hata wao kwa wao hawaelewani...... Mi sipendi kuwalaumu kwa ujumla wao ila nakubali tu kwa ujumla wetu kama binadamu ni watata sana... Siku utakapo pata mwanamke anayekupenda saana ndo utakuwa mwisho wa hilo swali coz honestly wala tusidanganyane mapenzi hayana formular, heartbroken zinatufanya tujiulize maswali mengi sana..... Calm down mzazi

Big up mkuu kokote kule uliko
 
Kataa/kubali, mwanamke akikunwa kisawasawa pale pasipokunika hata akifariki, ataendelea kukupendea kaburini. Mpe pesa, mfanyie yoote but usipomtoa ukelele wa utamu hawezi kukupenda.
NB: tofautisha kumgegeda akapata raha (ambazo hata akitumia vidole anaweza pata) na kumkuna kunako uwasha (anakowashwa.)
 
Mwanamke uwa anapenda kumkua mme alivyo basi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom