Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

Wanawake hua wana enjoy kutongozwa?

hivi nyie wanawake mna-define yule mtu mwenye care, ni yule anaewapa pesa tu? mbona huwa mkimpenda mwanaume toka moyoni hayo mambo ya kupewa care hamyasemagi? uwiiiiiiii
ndio mjiongeze basi walau kidogo loooh
mwanaume ambaye hatoi pesa wala vizawadi huyo anakutumia tu wala hakupendi

sorry kama nitakuwa nimemkwaza yeyote,
na vile vile kupewa pesa na vizawadi sio sababu ya kusema ndo unapendwa ila pia mienendo na matendo will tell
 
Napenda msemo mmoja wa mabinti eti "Nitongozee na jinsi utakavyojieleza ndio ntaamua kwamba nikwambie nipo Single au ninamtu tayari". [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahahahahah halafu kanisani kuna hope iliyo kuu

hakika maneno maneno tu yanachosha

mbaya zaidi ujisemeshe cjui bby nimekununulia cjui simu sijui kiatu halafu uje uniletee story mara ohoo, shangazi aliipenda nikampa au cjui dada aliipenda nikampa

loooh hakika mimi nakupa peace of mind maana hata sikuomba ulijisemesha mwenyewe. I hate fake ahadi
Huo sasa si ni utoto!! Yaani uninunulie kitu alafu umpe mtu mwingine!! Shenzi type!
 
Kwa kweli kuna mitongozo mingine sio romantic,na pia muda mwingine kwa upande wangu inakera pale ninapokua na mtu tayari alafu mtongozaji anang'ang'ania dawa yake nampiga kibomu amaizing yeye mwenyewe tu anatakata tamaa,si unajua wanaume mlivyo wabahili kwenye kutoa pesa! hahahahah ila ujana raha sana.
Hahahaaaaa!! Njia ya kupiga vibomu ni nzuri sana.
 
hivi nyie wanawake mna-define yule mtu mwenye care, ni yule anaewapa pesa tu? mbona huwa mkimpenda mwanaume toka moyoni hayo mambo ya kupewa care hamyasemagi? uwiiiiiiii
Hivi unanipenda toka moyoni alafu haunihudumii!! Upendo gani huo sasa!!
Muwe mnajiongeza jamani.
 
ndio mjiongeze basi walau kidogo loooh
mwanaume ambaye hatoi pesa wala vizawadi huyo anakutumia tu wala hakupendi

sorry kama nitakuwa nimemkwaza yeyote,
na vile vile kupewa pesa na vizawadi sio sababu ya kusema ndo unapendwa ila pia mienendo na matendo will tell
Hivi unaniambia tu kuwa unanipenda, alafu unataka niamini tu maneno yako like serious!!!

Wajiongeze bwana wasijitoe akili.
 
ooh asante..., furaha iliyoje kutakiwa jion njema na mtu kama ww?
Na uwe na jioni njema yenye tafakuri pana ya utafutaji wa pesq, na ukabarikiwe ktk utafutaji wako. Ujazwe hadi ushangae(ila tu kama utakuwa unampa binti yangu, lasivyo usipate daima)
 
Napenda msemo mmoja wa mabinti eti "Nitongozee na jinsi utakavyojieleza ndio ntaamua kwamba nikwambie nipo Single au ninamtu tayari". [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kumtongoza tu, kumspoil hadi ajikute single.
 
Hivi unaniambia tu kuwa unanipenda, alafu unataka niamini tu maneno yako like serious!!!

Wajiongeze bwana wasijitoe akili.
wanajifanya kupoteza ufahamu, kuna mmoja nilimsikia akisema eti mwanamke hahitaji hela ni jinsi ya kumhandle tu.

mwisho akasema mwanamme machine nikamwambia akasagie unga

teh teh
 
wanajifanya kupoteza ufahamu, kuna mmoja nilimsikia akisema eti mwanamke hahitaji hela ni jinsi ya kumhandle tu.

mwisho akasema mwanamme machine nikamwambia akasagie unga

teh teh
Hahahaaaa!! Huwa wanajifariji tu ila ukweli wanaujue, unanihandle vipi bila pesa sasa!! Au ndio zile za baby umevaa nguo gani, baby umekula...... Mfyuuuuuu!!! Unajua gharama zake au unaulizia tu!!
 
Back
Top Bottom