Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,523
Hahahaaaaa!!Hahaha juzi nimeonana naye nilivyorudi Dar,
Alivyonioana kwanza alicheka hadi alitaka kulia na jinsi nimekuwa mstaarabu sana siku hizi.
Basi fanya mchakato awe wifi kabisa.
Hahahaaaaa!!Hahaha juzi nimeonana naye nilivyorudi Dar,
Alivyonioana kwanza alicheka hadi alitaka kulia na jinsi nimekuwa mstaarabu sana siku hizi.
Wee utakuwa unasoma, ama shule ya upili au chuo mwaka wa kwanza/wapili.Mm sipendi wanaume wanaotongoza badala aende kwenye lengo anaanza masifa mara Baba angu rubani kwetu kuna magar sita mara mm nilitumwa na mazaa benki ya bot yan badala aende kwenye lengo anajzaa misifaa kibaooo
Ili anishawishi au wewe leta matendo tu achana na masifaa
Unashangaa unashawishika unajua huyu mtu kwao maisha lain baadae ukimjua unamkimbia anabak kulalamika tu jaman kutongoza nako kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Leo mmeoteshwa pesaAkili yako inafanana na yangu, mie mapenzi ya i love you i love you asubuhi hadi jioni, j3 hadi j2 kwakweli huwa yananichosha wiki tu.
Lazima yanogeshwe na vitigo pesa, mpesa, airtel money,sim banking alerts nk. Sasa maneno tuuuuuuuu kama tupo kanisani.
Hata kanisani angalau kuna sadaka.
Hahahaaaaa!!
Basi fanya mchakato awe wifi kabisa.
hata hili la kuchungulia waliomzidi umri nalo siyo dhambi? we mama wwHamna kibaya cha kujifunza mbona!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaha nimekosea njiaAkili yako inafanana na yangu, mie mapenzi ya i love you i love you asubuhi hadi jioni, j3 hadi j2 kwakweli huwa yananichosha wiki tu.
Lazima yanogeshwe na vitigo pesa, mpesa, airtel money,sim banking alerts nk. Sasa maneno tuuuuuuuu kama tupo kanisani.
Hata kanisani angalau kuna sadaka.
Ooooh!! Basi tafuta mswahili my kaka.Hahahahahaha,
Siku hizi mabinti wakizungu hawanivutii kama zamani.
Walomzidi umri ndio mpango sasa, watoto nyie maneno meeengi vitendo nehiiii!!!hata hili la kuchungulia waliomzidi umri nalo siyo dhambi? we mama ww
Ooooh!! Basi tafuta mswahili my kaka.
nakupenda mamkwe.., jioni njemaeeee.., enjoy ur day. haya baadaeeeeeWalomzidi umri ndio mpango sasa, watoto nyie maneno meeengi vitendo nehiiii!!!
Hahahaaa!! Jioni njema na kwako pia mkwe wangu wa kujitegemea.nakupenda mamkwe.., jioni njemaeeee.., enjoy ur day. haya baadaeeeee
Kutongozwa raha hasa ukizingatia tunavyopenda kudekezwa na kubembelezwa na mnavyojuaga kuact unyenyekevu kwny utongozaji baasi ndo raha yetu ukilegea jamaa anakula, na sio makosa kutongoza huwezi kunitongoza nikakutukana matusi nakwambia tu siwezi kuwa na wewe kwasababu Hii fullstop lkn sio ile mpk mtu mnatoa uadui kisa umeombwa papuchi, kuna rafiki yangu wa nchi jirani yeye anafurahia mwanaume akimtongoza kwa kiswahili yani kwake ni raha isiyo mfano na wakati hajui kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Au ulimuanza vby?? Ama yeye ni mwenye gubu tatizo wanawake wengi huwa tunaamini mwanaume akikutongoza anakuwa ni mtovu wa nidhamu kumbe hapana ndo desturi za kibinaadamuMm kuna dem nlimtongoza tukaishia kwenye uadui kapeace
hahahahahahahah halafu kanisani kuna hope iliyo kuuAkili yako inafanana na yangu, mie mapenzi ya i love you i love you asubuhi hadi jioni, j3 hadi j2 kwakweli huwa yananichosha wiki tu.
Lazima yanogeshwe na vitigo pesa, mpesa, airtel money,sim banking alerts nk. Sasa maneno tuuuuuuuu kama tupo kanisani.
Hata kanisani angalau kuna sadaka.
bila hivyo utabaki kusema nilikuwaga na mimi sizitaki hizoEwaaaaaaaah!! Pesa kwanza then mengine yatafuata tu.
Hahhahahaahaaa... Mchagua JEMBE sio MKULIMA!Niko tofauti kabisa, ss wanawake ni sawa, sasa mbona kuna midume nayo inajirahisisha km wanawake yaani akiambiwa anapendwa au mdada akimtokea yy ndio sifa yake hachomoi, yaani wanajiraisisha km baadhi ya wanawake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachojua wao ni michepuko, sasa ndani hujamaliza nje unafanyaje xaxa! Kichwa uma sana, na rafiki bwana mashauzi alimnunulia gari baadae haya pesa ya mafuta hatoi, shoga ananiambia ngoja naenda sehemu alikuwa ana mtu anamjali mafuta full mume haeleweki! Kha!
Sent using Jamii Forums mobile app
ulikuwa unaenda wapi mkuuuhahahaha nimekosea njia