Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Hivi jamani tuwe wa kweli saazingine, mfano unakutana na mkasa kama huu...unakuta mke kajitolea kweli kwa mme kwa upendo wake wote. Siku ya siku mke kazi ikaisha akawa hana kipato...then badala hata ya mumewe kumjali au kushare naye anachopata pengine anapata mashahara wa 300,000 kumpa mkwewe hata 10,000 akajinunulie mafuta inakuwa shida, na hapo hapo anaspend unwisely hizo pesa (kwenye pombe, kununulia pengine gari n.k) hivi hata kama mke alikuwa na mapenzi ya kweli hapo kutakuwa namapenzi kweli?
Pretty, kununua gari kumbe is so 'unwise'...