Wanawake Hawapendi nini?

he he yaani comments zingine hizo wanawake hawapendi nini zimenifurahisha kweli,ile lingine wanawake hawapendi wanaume wanaopenda vya bure pia,unakuta mwanaume yeye anapenda mijimamam mikubwa wakati ana mke mzuri tu eti shugamami ili apate vya bure na sisi wanaume,,mi naona mwanaume kupenda vya bure sawa na kushikishwa...kwa nini tusifanye kazi kwa bidii tuwahudumie wake zetu sisi ndo tuwape wanawake sio sisi tena tupewe na sugamamii's????:A S angry:
 
1. Kuitwa we! badala ya jina lake.
2. Akikosea,kumwonya kwa ukali na kumbwambia nilsha kwambia.
3.Wnaume wadhaifu, wasio weza kuwaprotect.
4.Wanaume wasio piga mswaki.
5.Wanaume wasio na skills yeote, wapowapo tuu, uvivu.
6.Wanaume wabahiri, wasiopenda kuwanunulia hata kitu kidogo.
7.Wanaume wasio na mwelekeo, waio na plan, kila kitu lazima waulize,
8.Wanaume wachafu.
9.Wanaume wavivu kuwasiliana, hadi umpigie.
10.wanaume wasio jua kuvaa. vaa ovyo ovyo size kubwa kupi kiasi, rangi mchanginyiko kwenda front.
11.Wenye mashine ndogo (unajua namanisha nini).
12.Wasio nyoa mindevu.
13.Wanaume wasio onyesha ufundi wowote uwanjani. pasi zilezile miaka nenda rudi.
14.Unpopular men . upo upo tu hakuna unacho ifanyia jamii.
kazi kweli
 
wanawake hawapendi kutosikilizwa na kunyanyaswa. wanapenda kubembelezwa,kujaliwa na kuridhishwa katika mapenzi. mwanamke anapenda kufikishwa kileleni tu.
mbona unakosea tena?hayo ulosema yote ni sahihi pamoja na la kufikishwa kileleni,kama unamfikisha kileleni tu halafu hayo mengine hapo juu umeyaweka pembeni subr kusidiwa
 
Mi nafikiri mmeongea menge sana, ila kuna kitu hamjakigusa. Mwanamke ambacho kinamchukiza ni pale mwanaume anaposhindwa kumridhisha kwenye tendo la ndoa. Na hilo wanaume wengi hawajui ukweli huo. Mwanaume akimaliza yeye anajua mambo tayari kumbe wenawake wako tofauti sana.
 
Mwanamke anapenda mtu mkweli, anachunguza hata akitaka kukupa tunda mpaka awe amekushiba kweli kweli. Anapenda umjali, umpet, umpe nyama ya ulimi,umpige kwa kipande cha khanga, anapenda mtu ambaye ana future, hapendi taabu anapenda raha, anapenda security,umuimbie mistari kama Amita Bachan
 
hawapendi

1.vibushuti

2.wanaume kubwata (wengine wanaongea utafikiri wamewekewa spika)

3.wanaopenda kujikweza

4.walevi

5.ambao wako busy sana ni tatizo

6.wanaojifanya watoto mjini/wajanja kwa sana
 
Back
Top Bottom