Hahahahh eti kwa daktari ndiyo umri sahihi unatajwa!Birthday parties zinaishaga kwenye 25. Huko kwingine ukinunuliwa zawadi ya birthday unashukuru. Ikifika 30 unanuna champing una toss na wakaribu nyumbani, wakikutoa dinner pia salama lakini hutaki kukumbuka sana age.
Ninashtuka nikienda kwa daktari ndiyo reality inakuja.
Kama ishu ya umri tu anakudanganya mambo ya msingi atakuwa mkweli?Inategemea unamuuliza umri katika mazingira gani;,kama katika mahusiano awezi kuwa mkweli,nje ya hapo atakuwa mkweli kama Ebitoke!
hahahaaSiyo hao tu mkuu.
Hata humu ndani wapo wengi tu sana.
Usishangae kukutana na Miss Chaga akakwambia ana miaka 23.
Hongera sana Mkuu.Mimi uso wangu na mwili kwa urefu fulani... unanishusha kama miaka 15-17 na inanifurahisha hadi nakuwa mkweli wa umri wangu nimuache mtu mataa. Na baraka ninazo tele zingine... Eeeeh najivunia nilivyoumbwa na Mungu wetu.
JF burudani
Naomba Usahihishe kichwa cha Uzi huu... Wanawawek Hawapendi au Wanawake Hapendi... Huyo Uliyenaye au Wote kwa ujumla?Habari za usiku ladies and gentlemen,
Ni matumaini yangu kuwa mko salama kiafya, kiroho na kimwili. Bila kuzunguka sana ngoja niingie kwenye hoja mara moja.
Ni kwamba kwanini wanawake wengi hampendi umri wenu wa kweli ujulikane?
Inasemekana kwamba mwanamke akikwambia anamiaka 20 inabidi uongeze miaka mitano ili upate umri wake sahihi kwa sababu wanapenda sana kudanganya linapokuja swala la umri au miaka yao.
Ni sababu gani inawafanya kudanganya umri wenu? Kwani umri wenu una nini? Utafikiri umri wenu ni dhahabu aisee.
Acheni hiyo tabia mara moja nyie wanawake wote mnaoendekeza tabia ya kuficha miaka yenu halisi.
Karibuni kwa michango.
Na wewe Ney huwa unadanganya?Inategemea mtu na mtu bwana, wengi wetu unakuta hakuna cha maana tulichofanya na umri ndio huo umeshatutupa mkono so hatuna budi kudanganya ili tusionekane vilaza
Thanks Mkuu,Naomba Usahihishe kichwa cha Uzi huu... Wanawawek Hawapendi au Wanawake Hapendi... Huyo Uliyenaye au Wote kwa ujumla?
Ujana ungekuwa unauzwa muuzaji angepata faida sana.Wanapenda ujana, mwanamke mwenye miaka 25 uwezo wake ki changamoto za maisha nikama mtu mwenye miak 35, sasa akikwambia ana 35 ujue kabisa hapo mpera mpera wake niwa miaka 45,
Hivyo wanapunguza kupata uwiwano wa kimahesabu
kazi kuzarau vijana wenzako wanaokutongoza unakataa kisa elaInategemea mtu na mtu bwana, wengi wetu unakuta hakuna cha maana tulichofanya na umri ndio huo umeshatutupa mkono so hatuna budi kudanganya ili tusionekane vilaza