Wanawake hawapendi miaka yao ijulikane

Wanawake hawapendi miaka yao ijulikane

Neybright unanifurahisha unavovaa uhusika halafu very positive

Miaka kwa wanawake ni changamoto...chukulia zari thebosslady, miaka yake isingekuwa wazi ungempa miaka mingapi... kama si 28
Ndugu acha tuu huo uhusika mbona nilikomeshwa nilipewa moja ya uso ikabidi nipambane kwa hoja ili nieleweke [emoji28][emoji28]
 
hahahahahah daktar afichwi
Birthday parties zinaishaga kwenye 25. Huko kwingine ukinunuliwa zawadi ya birthday unashukuru. Ikifika 30 unanuna champaign una toss na wakaribu nyumbani, wakikutoa dinner pia salama lakini hutaki kukumbuka sana age.

Ninashtuka nikienda kwa daktari ndiyo reality inakuja.
 
Back
Top Bottom