Wanawake hawapendi miaka yao ijulikane

Wanawake hawapendi miaka yao ijulikane

Wanaogopa kuona wamesoma kilometa nyingi....sasa mtu anakwambia ana miaka 24 lkn ukiona mashine unasema huyu kajipunguza miaka 13
 
Unajua unapotaka kutoa positive reason lazima ujivike uhusika ili mtu akuelewe, ndio maana nikasema kuna mtu na mtu means sio wote, na kwakuwa watu wenyewe tunaishi nao tunajua sababu ni nini ndio maana nikavaa uhusika ila mkuu kashindwa kunielewa akaamua anipe za uso faster
Naomba uwe mshauri wangu Ney
 
Siyo hao tu mkuu.

Hata humu ndani wapo wengi tu sana.

Usishangae kukutana na Miss Chaga akakwambia ana miaka 23.
Kuna mmoja nilimwambia nina miaka 40 akakata kamba.hahahahahahahahahaha.bora niipunguze tuweze kuelewana
 
Inasikitisha sana...

Hii hutokana na sisi wanaume kuwa judge wanawake kutokana na umri wao ndiyo maana...

And women always like to look and stay young...

Kwa mwanaume ukubwa ni ufahari, kwa mwanamke ukubwa ni kama gundu...


Cc: mahondaw

Smart911 love hatupendi kuzeeka wenzio sema automatic tu hatuna namna
 
Wanapenda ujana, mwanamke mwenye miaka 25 uwezo wake ki changamoto za maisha nikama mtu mwenye miak 35, sasa akikwambia ana 35 ujue kabisa hapo mpera mpera wake niwa miaka 45,

Hivyo wanapunguza kupata uwiwano wa kimahesabu
Umenena vyema mkuu
 
wanawake wengi wanatak umri wao ubaki palepale hta some men eg. wapo utawaulza mwaka huu atakwambia yupo 22 next 2 years anakutell yupo 22 tna... ila wapo ambao wanakeep hzo information confidential ili ucmjue sana hence ukicctza atakudanganya kama hvo... wengne fashion tu.
 
Back
Top Bottom