joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,037
Habari za usiku ladies and gentlemen,
Ni matumaini yangu kuwa mko salama kiafya, kiroho na kimwili. Bila kuzunguka sana ngoja niingie kwenye hoja mara moja.
Ni kwamba kwanini wanawake wengi hampendi umri wenu wa kweli ujulikane?
Inasemekana kwamba mwanamke akikwambia anamiaka 20 inabidi uongeze miaka mitano ili upate umri wake sahihi kwa sababu wanapenda sana kudanganya linapokuja swala la umri au miaka yao.
Ni sababu gani inawafanya kudanganya umri wenu? Kwani umri wenu una nini? Utafikiri umri wenu ni dhahabu aisee.
Acheni hiyo tabia mara moja nyie wanawake wote mnaoendekeza tabia ya kuficha miaka yenu halisi.
Karibuni kwa michango.