Wanawake hawapendi cost sharing? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake hawapendi cost sharing?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BLUE BALAA, Jan 18, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hivi kwanini mademu hata akiwa mke wako bila kujali kipato chake kikoje mnapokuwa either mmetoka au kuna shughuli yoyote mnafanya inayohusisha mambo ya malipo wao wanakaaga pembeni kabisa kwenye malipo. Hata mkienda disco wewe ndo ulipe kiingilio.

  Ni kitu wazi tuache ubishi we angalia bar, restaurant, shopping za nyumbani, ada za watoto etc etc
   
 2. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiwe na hasira, tunafuata sheria za Mungu.... Tutakula kwa jasho....

  Jasho langu nakula mwenyewe, Jasho lako tunashea.... Mbona wewe huzai kwa uchungu???
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MWANAUME NI KICHWA.
  nikilipa ntakuwa nawadhalilisha na kuwapunguzien HESHIMA YENU..so najiweka kando utekeleze UANAUME WAKO....
  au na nyinyi mnataka usawa..????????????
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  haleleuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpendwa...sema eeeimeeeeeeeeeeennnnnnnnn!!!!!!!!!!
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  biblia imesema MWANAUME ATAMTUNZA MKE WAKE....sasa nikilipa asi ntakuwa nimevunja maandiko?wakat mi napenda kwenda mbngun jaman...natekeleza mistar na maandikooo mwanaume ATANITUNZA ...ATA KM AKIWA ANAPOKEA LAKI 3 MIMI MILION 3 STL ITABD ALIPIE TU
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  eva alitofautiana nao kidogo kwa kushare lile tunda na adam ingawa ndio iliyokuja kutucost kizazi chote mpaka kesho.
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tunda sheria yake kuliwa watu wawili .....bt menmgneyo mwanaume atagharamia...
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi kule Beijing si mlienda kudai usawa au nakosea hebu nikumbusheni??? MWANAMKE AKIWEZESHWA ANAWEZA
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwenye mambo ingne usawa yes si KUCLEAR BILL...bill ya mwanaume
  sasa ukichwa wenu utakuwa wap km mimi nikilipa wewe umejibanza kwa nyuma?
  aaahh apana mi nafata MAANDIKO BWANA ..mwanaume ndo wa kutunza familia na KIPENGELE IKI NAKIZINGATIA SANA ....stak kwenda moton mie..na stak kukunyima nafasi ya kuexercise UANAUME WAKO..
  umepona baba?
  mith u jaman...
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  beijing tulienda kuonyeshana dzain za nywele ..si kuambiana kulipa bili kaka!!!!!
   
 11. E

  Edson Silumbe Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanaume ndiyo kichwa Blue Balaa,Kulipa Bill zote za Maisha ndiyo kiume and its biblical!
  Primarily kazi ya mwanamke tangu kuwekwa kwa misingi ya Ulimwengu ni Kuzaa tu,sio kuzalisha mali!
  In my opinion,mwanamke akiamua kulipa bill yeyote hata nyumbani ni HISANI!!
  Yeye kazi yake kumliwadha Mume na kulea watoto;Whereas kazi yako ww ni KUMPENDA(Including kulipia bill zake zote na za watoto kutoka ktk tumbo lake)

  Hapa Issue sio usawa,hakuna Usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,Mungu mwenyewe katika Hekima zake alitutofautisha na alikuwa na kusudi! He created Potential Difference(P.D) btn a man and a woman ili waweze kuhusiana!
  Sehemu ambayo hakuna P.D uhusiano hufa kuanzia!!

  Imeandikwa "nanyi wake WATIINI waume zenu km kumtii kristu",nanyi Waume WAPENDENI wake zenu...."
  Kwa mantiki nyepesi tu Mamlaka ndogo hutii kwa Mamlaka Kuu,Mke(mamlaka ndogo) hutii kwa mamlaka kubwa(Mume).
  Lakini km ilivyokuwa restrictive,Utii huo ni "km kumtii kristu" yaani katika yaliyo Mema!
  Sio wewe unataka kula ndogo halafu unataka hakutii!

  Mwanamke ambaye hutaka kujiinua juu ya Mwanamke sio tu anadosari katika Ubongo wake lakini anastahili Maombezi!!
  Wanawake wapumbavu huzivunja Nyumba zao kwa mikono yao wenyewe-Biblia

  So i call upon all fellow men to enjoy and derive pleasure paying their wives bills mpaka mwisho wa "maisha" hapa duniani!!
   
 12. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen...:pray:

  Tulienda kudai usawa kwenye pesa zenu, kwenye mali zenu kama mirathi n.k sio kulipa bili bar au kiingilio disco...
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nipo nimepona lakini una kesi ya kujibu kutohudhuria vikao vya Bunge
   
 14. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaona kitufe, lakini ngoja nikugongee hapa hapa .....DARLING IS SAYING... THANK YOU....
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Darlingtone umeamka salama mpendwa uliishawahi kulipa bili bar kama bado jaribu lakini DON'T TRY THIS AT HOME
   
 16. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huyo hakupendi akupendae kwa dhati siku moja moja lazima na yeye ajitolee hata kama ni kidogo
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Eti eheee ngoja ni :car::car::car:
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah yaaan acha tu
  nimekuwa km kunguru ndg yangu mara apa mara palae nikiwepo geto ndo vile tena majukumu ya kula PAMOJA NA FAMILIA KM KAKA TEAMO ALIVYOSEMA YANANIZNGA....bt i promic u beb i wont nill to happen ths wknd....misssssssssssssss u mbayaaaaaaaaaaaaa yaaan!!!!!!!!!!
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  The Following User Says Thank You to Maty For This Useful Post:

  The Finest (Today)

  NIMEKUTUMIA VICE OF NO REASON VIA DHL KWA AJILI YA HII USEFUL POST
   
 20. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeamka salama kabisa Ndugu yangu, Vipi bado unaendesha? Nasikia jana ulichukua contrakti ya kuendesha trekta.... Karibu tena

  Bili najilipia nikiwa peke yangu, nikiwa na wewe tafadhali ni majukumu yako, sipendi kukudhalilisha...

  Maty, kule huyu BB analalamika wanawake wake 100+ wametoa mimba zake, huku anataka cost sharing, labda wamemuona bahili ndio maana wanachoropoa mimba zake
   
Loading...