Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,328
- 11,464
Utakuwa king'ang'anizi na majigambo mengi.
Itakuwa ukipewa namba humpi mtu hata nafasi ya kupumuwa, msg za umekula nyingi, siku hiyo hiyo nakupenda za kumwaga na dedication za nyimbo za Celine Dion, hajakaa sawa ushamwambia mimi nina gari na pesa nyingi (huku shilingi kipande hutumi) hapo lazima upigwe block.
Mapenzi ya kihindi yanatakiwa yasindikizwe na pesa, ile baby umekula inasindikizwa na muamala. Sasa wewe unataka kumchatisha mtu na maswali ya unanipenda kweli, mimi mzuri??, Umelala na wanaume wangapi.
Tumia huo mshahara wa 1m+ kuhonga uone utakavyo gandwa.
Huna tofauti na mimi asee. Nahisi ubavu wangu Mungu aliunywa supu na si kitengeneza my better half. Sijui nafeli wapi
Nakupongeza kwa kusema tatizo lako moja moja bila kupiga chenga angekuwa mwingine angesema tatizo lake kwa kupitia Rafiki yake.Habari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+, gari na nimepanga) yaani tuseme maisha yangu yako Poa. Ila changamoto inakuja mimi kupata mpenzi sijui ninamkosi gani, najaribu kuwatongoza napata na number mara baada ya muda wengine wanakublock with no reason, wengine simu zao hazipatikani hadi leo yaani ili mradi tu nipate shida.
Sasa kuna siku nimeenda mitaa ya sinza kununua wale wadudu (japo sipendi hii tabia) nikapata huduma basi nikachukua namba ya huyo mdada, nikaanza kuchati nae pia anaanza kuniringia. Hadi nimechoka maana hadi malaya ananiringia, wakati ukiniona nina mwonekano mzuri, maisha mazuri halafu naringiwa.
Je, ni mkosi au vipi maana mara ooh wanaume tupo wachache, mara ooh kuwa na pesa utakula mademu mpaka basi ila kwangu sio hivyo.
Nawasilisha.
Swagga za kishamba ndiyo zipi hizo?Mademu hawataki wanaume washamba, rekebisha hilo tu hata bure wanakupa, acha swaga za kishamba hawazimiki nazo.
Umejuaje?Bro,kwenye swagger tu Nipo vzr….
Dating site zimeanzishwa Kwa ajili ya watu kama hawa namna ya kumingo na wadada, kuna wanawake wengi tu wanataka kuolewa Leo kesho na mtu ili mradi awe mwanaume amstiri.Na mleta mada anatafuta mke
Utakuwa king'ang'anizi na majigambo mengi.
Itakuwa ukipewa namba humpi mtu hata nafasi ya kupumuwa, msg za umekula nyingi, siku hiyo hiyo nakupenda za kumwaga na dedication za nyimbo za Celine Dion, hajakaa sawa ushamwambia mimi nina gari na pesa nyingi (huku shilingi kipande hutumi) hapo lazima upigwe block.
Mapenzi ya kihindi yanatakiwa yasindikizwe na pesa, ile baby umekula inasindikizwa na muamala. Sasa wewe unataka kumchatisha mtu na maswali ya unanipenda kweli, mimi mzuri??, Umelala na wanaume wangapi.
Tumia huo mshahara wa 1m+ kuhonga uone utakavyo gandwa.
Dah, walipa tozo MNA vituko sana.Chunguza usafi wa mwili na kinywa
Sio vituko mkuu, kama ni kweli yupo hivyo qlivyosema why akose mwanamke?Dah, walipa tozo MNA vituko sana.
Nenda vituo vya dala dala changua pis kali uwe unawapa lift kila siku jioniTatizo pia muda,yaani natoka nyumbani asubuhi narudi Usiku so muda wa kufukuzia pisi unakuwa mdogo
Tumuunganishe Kwa Stive Nyerere ampe totoz moja la Bongo movie akili imkae vizuri, hajawahi kunyonywa koni huyu akili bado zimeganda.Sio vituko mkuu, kama ni kweli yupo hivyo qlivyosema why akose mwanamke?
Ajichunguze tu...sijamaanisha yeye ni mchafu mi simjui
Akute na yeye hayupo romanticTumuunganishe Kwa Stive Nyerere ampe totoz moja la Bongo movie akili imkae vizuri, hajawahi kunyonywa koni huyu akili bado zimeganda.
Hatununi matajiri ndiyo wanakuwa wabahili, Masikini siyo bahili.Ukitaja neno ubahili wananuna
nimesoma ulichoandika nikajumuisha na watu walivyocomment nimejifunza ww ni mshamba huna hilo gari wala hulipwi 1m+ sasa cha kufanya ww piga nyeto ukiona na mkono unakataa basi kanunue kamba y katani ni 2000 tafuta stuli nenda ufukweni mwa baharini kwenye msitu wa mikoko kajitundike ujinyonge mpka ufe huna faida. yaani unatongoza malaya wakati ni swala la kutumia hela yako alaf unatidanganya ww sio mshamba oya kwan unatuonaje wan jf
Hata hivyo na nyie wanawake mnachagua sana kuliko sisi wanaume, Wadada mko very picky, tatizo alilonalo mtoa mada hata sisi wanaume wengine Wengi tunalo, sema tunakausha tu humu Kelsea
Wale wanakufundisha wao, kuna kijamaa nakumbuka kilikuwa kinambinuwa Wema Sepetu yupo ikulu kinafanana na Pimbi lakini Tive akee akafanikisha deal, Wema alikuwa anafokowa mishiko tu, ni moja ya vitu Wema akifeli ajilaumu mwenyewe hakuweza kuutumia wakati wake vizuri.Akute na yeye hayupo romantic
Wewe upo tofauti na mtoa mada.Huna tofauti na mimi asee. Nahisi ubavu wangu Mungu aliunywa supu na si kitengeneza my better half. Sijui nafeli wapi