Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

Wanawake hatupendi wanaume wasio na hela!

We hutamani maisha mazuri ?
Kwanini unasema asiyejishughulisha ni poor minded?

Hayo ni maamuzi ya mtu aliye na akili timamu na sababu zake sidhani kama atakuwa poor minded

I don't think so
That's can't be a valid reason
Ni Maamuzi poor yanayo mjengea Tabia na kumfanya kuwa na poor mind,

Kama ajishuhulishi na chochote (Mvivu) na anatamani maisha Mazuri,

Huyo hawezi akawa msaada popote pale
Hata akiolewa Bado ata rudisha familia yake nyuma kwa Sababu ya Tabia na mtazamo wake wa Maisha,

Hili ni wimbi la Wanawake wengi wa Sasa unakuta mwanamke hawezi kufanya Kazi yoyote, hawezi biashara, Aja jiendeleza Kwa chochote, Hana uwekezaji wowote na Bikra Hana

Huyo hatakiwi kuolewa popote Kama Mwanaume Anahitaji Familia yenye Furaha.
 
Braza Seran anakuchiti mchana kweupe live na ushahidi ninao, lakini naona na wewe ushajiweka kwa Mallerina, safi.. tingtang Kituristi zingatia code 🤣
Mbona sijamchiti jamani🥹
6277CEAD-6B2A-40BE-B483-9689E639467D.jpeg
 
Mwanamke alietunza usichana wake mpaka NDOA ndo anastahili mambo mazuri kutoka kwa mmewe
 
Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.

Tunapenda hela sasa
Ni kweli , Me asiyetambua hilo atakuwa ana matatizo ya akili.

Wanawake wanapenda pesa coz wana matumizi mengi sana nayo ,mimi sijawahi paka lotion ,mafuta nayopaka ni ya nazi tena ni kwenye viganja vya mkono na kichwani ili kuzuia Dandruff ,sasa yeye atanunua lotion ,atanunua seram ,atanunua sun protector ,atanunua lipshine ,sheda ,wanja ,mafuta ya nywele ,perfume na body spry bila kusahau deodarant.

Viatu pea zaidi ya 20 ndani ,Kufuli inabidi hamna hamna pea 50 ,nguo ndiyo usiseme kama siyo kabati tatu basi hamna hamna kabati mbili.

Nywele kila week saluni ,bado mawigi ya kila aina.

Hao watu wanatumia pesa sana.
 
Baeleze 👌🏽

Maana wanataka mpaka chupi tumwambie baba😎
 
Baeleze 👌🏽

Maana wanataka mpaka chupi tumwambie baba😎
Binafsi kuna mahitaji ya msingi Binti anatakiwa amalizane nayo sio kumtegemea mwanaume!

Mahitaji ya chakula, kulala vocha inabidi ujipambanie kwanza angalau inavutia

Ikiwa mwanaume sasa karidhia nita clear bill ya chakula ama kodi fresh maake hujamuomba mapenzi yake kwako kaamua kufanya hayo

Ila issue za halo beby nisaidie Kodi 🤔🤔 sjui sijala siku ya pili 🥺aaaah kukatana stimu mamnyong'ode

Mwanamke akiweza kujitimizia hayo hapo juu hata akiingia kwenye relationship anaingia akiwa anajua si toi tuu sex na sinto abudu mtu juu ya kitu fulani bali ni upendo tuu ama daraja limepita wacha nivuke nalo

Nimekaa sehemu nina fundo mdomoni la lite ooh bint mmoja mambo, mzima, unaendeleaje mm namcheki tuu hata sijameza dada keshaongea maneno na huku anaachia tabasamu kwa mbali ikabidi niangalie friji 😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom