Wanawake hapa huwa mnatukosea sana

Wanawake hapa huwa mnatukosea sana

oh oh unaona sasa ile part ya kwanza ya story yako tungeisubiri mpaka lini?...cha kufanya kaa umweleweshe mkeo nini maana ya ndoa, mama yake asiwe mt wa tatu ndani ya ndoa yenu, ongea naye taratibu ukitia msisitizo kila neno na aone kuwa uko serious kabisa na uyasemayo mweleze wazazi tunatakiwa tuwaheshimu ndio, lakini wawekewe mipaka yao..na wakuiweka mipaka hii ni ninyi wawili kwa ustawi wamaiha a mipango yenu...shetani ni mjanja sana huwa anawatumia wale wa karibu kabisa kuzivuruga ndoa...pole sana bro ni mambo madogo sana hayo unayopitia.
mkuu client3 unakurupuka, ndoa yangu ipo ktk majaribu kutokana na mama mdogo wa wife, ambae ana ushawishi mkubwa sana kwao, financially and orally, kumpeleka peleka wife wng anavotaka, kiasi inaathiri mwenendo wa familia yangu, bahati mbaya wife haoni na hanielewi, haoni kama hilo ni tatizo!

Ni kama coincidence tu, wakati langu halijaisha, mshikaji akanijia home na hili lake!
 
ni kweli wengi usipomridhisha atakwenda kugawa, lakini ujiulize sababu iliyomfanya aolewe na wewe wakati hauridhishi, aliona fursa!
Wengi wameoana CYBERTEQ bila kitu hadi wanakuja kupata kitu na mapenzi motomoto, kidume anamridhisha mamsap ila zikimchanganyia anaanza tafuta michepuka,kwa hiyo anakuwa na assignment nyingi kuhakikisha wote wanaridhika,na tatizo ndipo linapoanza, utasikia mke analalamika performance imeshuka,sio mtu wa viwango tena
 
Hiyo sikatai charminglady, tatizo langu ni pale shem anapoitumia changamoto yao ya ndoa kama silaha ya kumuumiza mshikaji, nilitegemea aonyeshe ushirikianao, wangeeenda wote hospitali, ama popote kwa ajili ya ufumbuzi, nilitaka shem ajue tatizo lile ni lao, lakini shem anajiaminisha kuwa halimuhusu hata! Hakukuwa na haja ya kumfananisha na bf wake, kuna tofauti kati ya bf wake na mume wake, ndio maana hakuweza kuoana na bf wake!
Kuna watu wanabusara na maturity kuna wengine hawana, hata mademu hapa kuna wengine unaona wanabusara na maturity kuna wengine unaona ni watoto watoto na busara wamenyinmwa, ni kumuomaba mungu kupata mwenye busara, kuna mwanamke mwingine anaye jitambua hawezi ongea hayo maneno kabisa hata ummuuzi vipi, kwa hiyo ukikutana na kichwa maji unakula hasara
 
Tatizo wakati mwingine ni illusions wanazokuwa nazo wanaume. Wewe nani kakwambia kupiga bao 1 na kulala ni uchovu. Hiyo kawaida tu, yaani mimi mwanamke akiniambia hivyo wala hainisumbui akili kwani hilo bao 1 mimi si naridhika?

Achaneni na mawazo mgando ya kujaribu kuwaridhisha hawa viumbe uzao wa hawa watakuumiza kichwa tu.
 
Hapo jamaa yako hana mke, badala ya kushirkiana naye kumaliza tatizo yeye ana mchoma kwa maneno makali. Mkewe bado anagegedwa na Mzee huko nje. Samahani mkuu, Mke wa rafiki yako ana elimu gani?

Sasa nazidi kupata picha sababu ya wakina dada wa kisasa baada ya kuolewa haipiti mwaka wanaanza kutafuta ma ex wao, sasa unaanza kujiuliza kwa muda mfupi wa kuolewa anaaanza kukumbuka gegedo la ex...

Halafu kwa nini wanaume wakishaoa muda si mrefu wanaanza kutoka vitambi, nao wanaona sifa pale anaposifiwa na watu nje kwamba ndoa ina neema
 
Unakuta mwanaume shavu kama kitumbua...wenyewe wanajisifia mke anajua kukaangiza...

Wamegoma ku connect na madhara mengine ...

Ngoja waje...humu kuna wanaotetea bia na viti moto kuwa ni health afu wanajiita great thinkers...kwa wiki mtu anakula kilo hata 4 peke yake

Hapo ndio nawalaumu na wake zao pia...mke unatakiwa uwe makini na chakula unachompikia mumeo else ndio haya ya kudhalilishana...


Hapo jamaa yako hana mke, badala ya kushirkiana naye kumaliza tatizo yeye ana mchoma kwa maneno makali. Mkewe bado anagegedwa na Mzee huko nje. Samahani mkuu, Mke wa rafiki yako ana elimu gani?

Sasa nazidi kupata picha sababu ya wakina dada wa kisasa baada ya kuolewa haipiti mwaka wanaanza kutafuta ma ex wao, sasa unaanza kujiuliza kwa muda mfupi wa kuolewa anaaanza kukumbuka gegedo la ex...

Halafu kwa nini wanaume wakishaoa muda si mrefu wanaanza kutoka vitambi, nao wanaona sifa pale anaposifiwa na watu nje kwamba ndoa ina neema
 
Ndoa ndoano.

Mwanamke anayemkejeli munewe kwa kimoja ni mpumbavu kama sio mzembe, possibly both.

Mwanamke wa shoka kama anataka zaidi ya kimoja hata ------- atapiga zaidi ya kimoja, maanjumati tu. Mwanamme akishindwa kupata zaidi ya kimoja.mwanamke naye ana lawama zake.

Pia, kukejeli.kimoja wakati bado umeolewa ni kujikejeli mwenyewe. Aibu ya mume ni.ya mke na vice versa. Kama mwanamke anataka kukejeli kikweli, kwanza apate talaka.
 
Heshima ipi zaidi ya kumzalisha watoto wawili Ennie? na mtoto wa3 yu njiani!

!
!
amechukua vipimo vya dna?
usikute kuna namna gani vipi buu bah kambambikia mitoto,ohooo. Mademu sanaa nyingi siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
haya ni maneno ambayo naamin wanaJF wote wamewahi kuyasikia au kusimuliwa kuwa ni moja ya matukano ya kawaida kabisa uswahilini. Sasa kama mmekutana kwenye biashara ya mitumba huko unategemea nini? Hapa jamaa angeweza mjibu kijeuri vile vile.... sitaki kuandika matukano.
Cha mhimu ni kuwa ndoa zinatofautiana sana. Zinafanana kitu kimoja tu kuwa wote mnagegedana basi. Tukienda kwenye how na mengineyo ni tofauti sana. Hapa wengi mnamlaumu mdada na wengine mmeshamwita malaya tayari LAKINI binadamu mpaka afikie hatua ya kutamka hayo tena hadharani kama amefundwa kweli kweli kunakuwa na JAMBO so there a lot unknown..... mambo ya mali huwezi jua wamezipataje? Huenda mdada ndoo anachangia kwa asilimia 80.

Je, unaamini huyu shemeji yangu atakuwa ameumbwa perfect 100% kwa ajili ya kitanda? unadhani hana mapungufu ambayo mshikaji ameyakubali ili tu maisha na ndoa viendelee? kuhusu mali, shemeji ni mwl wa sec, mshikaji ni mtu wa procurement!
 
!
!
amechukua vipimo vya dna? usikute kuna namna gani vipi buu bah kambambikia mitoto,ohooo. Mademu sanaa nyingi siku hizi.
threesixteen tufanye anapigwa dudu nje, huko nako vipi haridhishwi? kama huko anaridhishwa she has nothing to do with dudu la ndani, apige kimya, maisha yao yaendelee!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wakati mwingine ni illusions wanazokuwa nazo wanaume. Wewe nani kakwambia kupiga bao 1 na kulala ni uchovu. Hiyo kawaida tu, yaani mimi mwanamke akiniambia hivyo wala hainisumbui akili kwani hilo bao 1 mimi si naridhika? Achaneni na mawazo mgando ya kujaribu kuwaridhisha hawa viumbe uzao wa hawa watakuumiza kichwa tu.

Nimeona LIKE haitoshi!
 
Labda wanawake wangepewa misuli kama yenu wanaume basi kesi za kupiga zingekuwa nyingi na wala kashifa kama hizo za mapungufu kitandani zisingekuwepo. Nafikiri huyo shemeji yako alifikia kiwango cha mwisho kabisa cha uvumulivu na akaona ni jambo gani au neno gani akilitoa litamkera rafiki yako kama yeye alivyokerekwa akaona atumie weak point ya mshikaji kumshusha. Sio kwamba namtetea shemeji yako kwa maneno yake mabaya ila najaribu kudadafua kwa nini mara nyingi ugonvi unapotokea kwa wanandoa mwanamke huwa ni mwepesi kuanika mapungufu ya mwenzi wake.
madameA Je, unaamini huyu shemeji yangu atakuwa ameumbwa perfect 100% kwa ajili ya kitanda? unadhani hana mapungufu ambayo mshikaji ameyakubali ili tu maisha na ndoa viendelee? hakuna njia nyingine zaidi kwa shemeji kudeal na mshikaji kuliko hizo attacks zake?
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu humu alisema "ni ngumu sana kumuelewa manamke", sasa nshamuelewa! yaani kabisa humu wanakuja wanawake wanadeclare openly, kwamba ndoa ni tendo la ndoa tu! Nadhani kama jamii kwa ujumla wake, kuna sehemu tumekosea, ama laah kuna unafiki flani hivi umejificha? ngono inawezaje kuwa kipaumbele? zao la ngono ni watoto, sasa hawa watoto wataishije kama kipaumbele ni ngono?

Mii naijua jamii ya watu ambao wanaendekeza sana mambo ya ngono ngono na ndoa za wake wengi, mbona jamii inawasema vibaya kila kukicha, hata wanasiasa wanawabeza sana, wakati ngono ndio kila kitu? hata Mzee Yusuf wapo watu wengi wanamsema vibaya na style yake ya maisha ya kuwa na wake wengi, sasa hapa kuna nini? Hata juzi humu ilirushwa attachment ya barua ya M. Kitenge kuacha kazi ITV, wengi walikimbilia kuyajadili kwa ubaya maisha yake ya ndoa za wake wengi, sasa hii inakuaje wakati kumbe ngono ndio kipaumbele!

Lakini pia huku mitaani ndoa zinakataliwa kufungwa ama zinavunjika kabisa, kisa tu mwanaume husika hana kazi nzuri ama laah kipato chake hakieleweki kwa wahusika!

Daaah, ni ngumu sana kumuelewa mwamnamke capito!
NNa mkuu ukitaka uone huo unafiki wao wengi hapa wanajidai magari sijui nyumba nini waliviacha kwao wakati ni hawa hawa hambao hawawezi kumkubali mtu kama pochi yake haiko vizuri wanataka mtu awe na gari awe na kazi inayoeleweka awe na nyumba sasa kama mtu shida yake ni hilo tendo tu kwanini aweke hivyo vigezo sijui elimu kazi pesa si aseme tu mi nataka mwanaume anaweza kunipa bao 7 kwa siku. MUNGU alishasema tuishi na hawa watu kwa akili they are so complicated. Yaani mtu sijui umfanyie nini ndo alizike
 
Last edited by a moderator:
[ QUOTE=major mwendwa;10466412]NNa mkuu ukitaka uone huo unafiki wao wengi hapa wanajidai magari sijui nyumba nini waliviacha kwao wakati ni hawa hawa hambao hawawezi kumkubali mtu kama pochi yake haiko vizuri wanataka mtu awe na gari awe na kazi inayoeleweka awe na nyumba sasa kama mtu shida yake ni hilo tendo tu kwanini aweke hivyo vigezo sijui elimu kazi pesa si aseme tu mi nataka mwanaume anaweza kunipa bao 7 kwa siku. MUNGU alishasema tuishi na hawa watu kwa akili they are so complicated. Yaani mtu sijui umfanyie nini ndo alizike[/QUOTE]
Opportunist na vichwa vibovu tu mkuu, wanataka mtu Uwe 100% kila idara utafikiri wao wamekamilika! Unakuta mwingine hata umshindilie magori 8! Bado hatosheki na wala hawezi kuona Ana tatizo, akili zimejaa kwenye ngono tu.
 
/QUOTE]
Opportunist na vichwa vibovu tu mkuu, wanataka mtu Uwe 100% kila idara utafikiri wao wamekamilika! Unakuta mwingine hata umshindilie magori 8! Bado hatosheki na wala hawezi kuona Ana tatizo, akili zimejaa kwenye ngono tu.[/QUOTE]
Yaani kusema ukweli sometimes inaboa unajua. Ila for sure ndo maana nchi zetu haziendelei. Watu wenye mafanikio makubwa maishani hili tendo hulipa nafasi ndogo sana. Hata wachezaji mpira hushauriwa kuto liendekeza. Sisi tunataka kuwa too much hivi kweli mtu anakujengea Nyumba anakupa watoto wanaenda shule anakununulia gari. Ukitaka upime tu kama uliyenaye ni mwanaume au la ni wanaume wangapi wameweza kufanya hayo. Na wanaume wangapi hawajaweza. Mimi ninacho washangaa kwanini wanawang'ang'ania wanaume wenye pesa. Hizo ndo tamaa za kipuuzi na hili jambo ndo hushusha thamani ya mwanamke sababu unatumika hata sehemu ambayo ur not interested ila tu upate kitu fulani
 
/QUOTE]
Opportunist na vichwa vibovu tu mkuu, wanataka mtu Uwe 100% kila idara utafikiri wao wamekamilika! Unakuta mwingine hata umshindilie magori 8! Bado hatosheki na wala hawezi kuona Ana tatizo, akili zimejaa kwenye ngono tu.
Yaani kusema ukweli sometimes inaboa unajua. Ila for sure ndo maana nchi zetu haziendelei. Watu wenye mafanikio makubwa maishani hili tendo hulipa nafasi ndogo sana. Hata wachezaji mpira hushauriwa kuto liendekeza. Sisi tunataka kuwa too much hivi kweli mtu anakujengea Nyumba anakupa watoto wanaenda shule anakununulia gari. Ukitaka upime tu kama uliyenaye ni mwanaume au la ni wanaume wangapi wameweza kufanya hayo. Na wanaume wangapi hawajaweza. Mimi ninacho washangaa kwanini wanawang'ang'ania wanaume wenye pesa. Hizo ndo tamaa za kipuuzi na hili jambo ndo hushusha thamani ya mwanamke sababu unatumika hata sehemu ambayo ur not interested ila tu upate kitu fulani[/QUOTE]

labda nyongeza nyingine major mwendwa:
shemeji aliolewa akiwa mwl wa shule ya msingi, akiwa na Grade A certificate, jamaa akiwa ni graduate! Ninachojua jamaa kamsapot shem mpaka akachukua dip ya edu (shem ilibidi a-resit A level), na baada ya kumaliza dip, shem hakurudi kazini, akaenda univ, akafanya BA, hakusoma tena edu, na hakuwa na loan!
Baada ya kutoka univ, kaomba kufundisha sec, wakati huu anaskilizia mchakato wa ajira wa taaluma yake mpya! haya yote shem anaona hayafai kuthibitisha uanaume wa mshikaji! Daaah, so sad!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom