Wanawake hapa huwa mnatukosea sana

Wanawake hapa huwa mnatukosea sana

Ndo maana ni kazi sana kwa mwanamke.kumwambia mwanamme pafomansi yake ni pua. Huwa inawala sana, na wengine things will never be the same. Bora kuuchuna? Sijui

Tusi lolote, mara nyingi huelezea yale mtu asoweza kusema akiwa hana hasira. Mshkaji wako atafute suluhu ya nait fudi, vinginevyo Mzee atatafutwa soon(may be hata washaanza kuwasiliana)

Napingana na wewe mtoa hoja kuwa uanaume ji kujenga, kulipa ada, kununua gari na kuzalisha. Uanamme ni pamoja na kutimiza majukumu yako yote unayotegemewa kuyatimiza na yako ndani ya uwezo wako.

Fikiria kwa mtindo huu, wanamme ambao hawajajenga, hawana magari, hawana watoto, si wanamme kamili? Sidhani.
Na unaweza kukuta familia zao zimeridhika nao.

BTW, leo niko hapa leaders club, muda wa lunch nitakuwa nakodoa kuona wanamme watakaoingia wawili, na yule atakayekuwa mnyonge ndo ntajua ni mshkaji wako.

Umenena vema sana. Hivyo vigari vijumba mwanamke angeweza kuvifanya hata peke yake bila kuhitaji msaada wa mwanaume,kwani shngapi....na kuwa na watoto sio kigezo cha uanaume bwana mbona mbegu huwa zinaingizwa hata kwa mirija?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kitanda! ama hata Magoli 7 kitandani, hayatalipa ada ya watoto! Hayatalipia mafuta ya gari, hayatalipia matibabu ya wanafamilia, hayatatoa msaada wa kifedha kwa wanandugu, hatajenga nyumba, hayatanunua mavazi, chakula, viatu, simu n.k! Kwa nini wanawake mnapenda kukimbilia siri za kitandani? Kitanda kina siri gani mpaka mfanye ni moja ya silaha yenu! Ni kweli inachoma mwanaume kuekewa aibu yake ya kitandani, lkn hili ni jambo kubwa sana ki hivo ama?


Tendo la ndoa ni zaidi ya hayo,hayo uliyotaja hata makwao huyaacha. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4

Mkuu mbona hata Nyani wanalo tendo la ndoa!
 
Kwetu vyote nilikua napata hvyo
kilichofanya tuoane ni pale patenganishapo katikati ya mapaja na perfmonce yake
kuhusu mali kunipa furaha si kweli
kuna masikini hawana kitu na wana furaha zao


Mbona point yangu ni sawa na yako au umeifuta hebu kaichech tena.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 
afu lara1 naomba unipe umbeya tafadhali your highness
PROD PRO QUO! Something for something and nothing for nothing! Umbea for umbea! Upo hapo! Afu umbea wa my client uko classified nimebanwa kisheria! Siezi kuuza mteja wangu! Mteja mwenyewe mmoja jamvi nzima! Ukiona unasutwa siku humu mmu rember lawyer lara 1 at your services! Hahahaaaa!
 
Umenena vema sana. Hivyo vigari vijumba mwanamke angeweza kuvifanya hata peke yake bila kuhitaji msaada wa mwanaume,kwani shngapi....na kuwa na watoto sio kigezo cha uanaume bwana mbona mbegu huwa zinaingizwa hata kwa mirija?

Kwani Khantwe mpaka wanaingia ktk ndoa, kuanzia ktk uchumba wao, hakuona kama mtu wake ni wa goli 1? kama huyo Mzee alikuwa anapiga goli 5 si angeolewa nae? Huoni kama mwanamke huyu alipaswa kujadili hili na mume wake huku wakifanya ref enzi za uchumba wao? what if kama jamaa alitumika sana kwa mkewe enzi anapiga 5 5 na leo uwezo umeshuka!
 
Last edited by a moderator:
aiseee haya ndio yaliyokukuta bro. pamoja na ku divert issue, kwa uchungu na hisia ndani ya maneno yako hii issue ni yako pole sana...kula tizi urudishe heshima.

mkuu client3 unakurupuka, ndoa yangu ipo ktk majaribu kutokana na mama mdogo wa wife, ambae ana ushawishi mkubwa sana kwao, financially and orally, kumpeleka peleka wife wng anavotaka, kiasi inaathiri mwenendo wa familia yangu, bahati mbaya wife haoni na hanielewi, haoni kama hilo ni tatizo!

Ni kama coincidence tu, wakati langu halijaisha, mshikaji akanijia home na hili lake!
 
Last edited by a moderator:
Kwani Khantwe mpaka wanaingia ktk ndoa, kuanzia ktk uchumba wao, hakuona kama mtu wake ni wa goli 1? kama huyo Mzee alikuwa anapiga goli 5 si angeolewa nae? Huoni kama mwanamke huyu alipaswa kujadili hili na mume wake huku wakifanya ref enzi za uchumba wao? what if kama jamaa alitumika sana kwa mkewe enzi anapiga 5 5 na leo uwezo umeshuka!

Sasa kama alikuwa anapiga tano ni kipi kinamzuia sasa hivi?
 
Last edited by a moderator:
Marriage is a ........................ institution! Period!

Ni kweli mkuu,, inatisha unaweza kuingia ukakutana na haya,mwanaume unafanya maendeleo makubwa kwa ajili ya familia, mke anakosa heshima na utambuzi,, kuoa ni changamoto na papuchi tunataka suluhisho ni nini mkuu,, nakuaminia ebu tiririka
 
ibada ambayo machangudoa pia wanaiabudu!


Machangu hawafanyi tendo la ndoa bali ni ngono na ufuksa ambacho Mungu amezuia ni mpaka mtu aoe/aolewe tatizo kizazi cha zinaa kinafikiri ni halali kugonokeana.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 
huyo jamaa awe mpole tu mke wake wanampigia mashine! hata siku moja mwanamke hawezi kuonesha dharau ya mwisho kabisa kwa mume wake wa ndoa, tena hadharani, hata hasira ikiwa vipi hawezi kumweka level moja au chini ya mwanamume mwingine, huyo jamaa yako wajanja wanamlia. mwambie aandae bunduki tu, au genge la vijana wa kula tigo mtu!

hahahaaaaa!
Huu ushaur n noma. Akitaka mguu wa kuku mm namsaidia ila kwenye kifiro mm simo
 
Sasa kama alikuwa anapiga tano ni kipi kinamzuia sasa hivi?

huwezi jua mkuu, hata waliokuwa na uwezo wa kutembea km nyingi kwa miguu wakati fulani, sasa hivi huenda hawawezi, binadamu sio machine mkuu, unaweza ukareplce too any time, things will never be the same! Ndio maana hata shem nae kaja kulalama leo, kwa nini hakulalama wakati wa uchumba? Kaja kulalama leo wakati tayari wana watoto wawili! Na kwa ile picha ya jana, nadhani shem tayari mtoto wa 3 njiani!
 
hahahaaaaa!
Huu ushaur n noma. Akitaka mguu wa kuku mm namsaidia ila kwenye kifiro mm simo

Hahahaa, ni bora umsaidie kutembeza kifiro kuliko kumuazima mguu wa kuku utaozea jela papaa, bunduki yako ni yako tu, kama haijatumika siku nyingi ni bora unishtue weekend moja tukawinde batamaji!
 
Sio baba tuna, tuna uwezo wa kuyafanya yote hayo. Isipokuwa kujiridhisha tu! #Mgegedonization ....

Hiyo sikatai charminglady, tatizo langu ni pale shem anapoitumia changamoto yao ya ndoa kama silaha ya kumuumiza mshikaji, nilitegemea aonyeshe ushirikianao, wangeeenda wote hospitali, ama popote kwa ajili ya ufumbuzi, nilitaka shem ajue tatizo lile ni lao, lakini shem anajiaminisha kuwa halimuhusu hata! Hakukuwa na haja ya kumfananisha na bf wake, kuna tofauti kati ya bf wake na mume wake, ndio maana hakuweza kuoana na bf wake!
 
Last edited by a moderator:
siku zote ukitaka kuamua kesi ni vizuri kusikiliza pande zote mbili hili tatizo ni gumu kidogo.
Na hii naniliiiiiiiii inayoitwa NDOA nayo ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom