Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
🤐🤐🤐🤐Shida ya huko pm cha kwanza huwa mnaomba picha.
Niahidi hautaomba picha hapa hapa.
🤐🤐🤐🤐Shida ya huko pm cha kwanza huwa mnaomba picha.
Niahidi hautaomba picha hapa hapa.
Hahahaha, dah mie niliwahi kufunga kwa miaka km 7 hivi ,nimeifungua karibuni tuKwani kuna wanaume huku wanafunga pm?
Sababu za kiusalama ama nini?Hahahaha, dah mie niliwahi kufunga kwa miaka km 7 hivi ,nimeifungua karibuni tu
Mara unatokea kule kule sio??🤣🤣🤣🤣ID mpya huwa naziangalia kwa macho manne.
Yes MkuuSababu za kiusalama ama nini?
Yule jamaa sijui ID yake mpya ni ipi?Ningekua the luckiest man in the planet!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha, ndio hujaona?
Kwa kweliWameunga mkono hoja .
Sukari yao!
Heee kumbe kuyajenga[emoji23][emoji23][emoji23].Hahahaha, umefunga bana ,fungua tuyajenge kdg
Hahahaha, sababu umefungaHaiwezi kuja
Mnafanana, mpaka atokee ndio nitaamini sio wewe.Sukari yao!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Usinione tena?? Nifungulie kwanza hebu plzKwenda zako[emoji23][emoji23].
Nisikuone pm kwangu.
Oooh, kumbe ulikuwa haujui?Kwani kuna wanaume huku wanafunga pm?
Hahahaha, ni kupiga mastory tu townHeee kumbe kuyajenga[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndiyo maana nimesema maombi mengine ni mazito.
Eeeeee, unawahusu mjifunzeWenye hatujafunga piem huu uzi hautuhusu[emoji2210]
Jamaa ana swagg nyingi sana, siwezi kufanana nae. Akifika tu, watu wanaunga msafara!Mnafanana, mpaka atokee ndio nitaamini sio wewe.
Muda wa kufanya nini?Tatizo muda!