Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,705
- 96,739
Hahahaha, we wafaa kufuatwa PM ,usifungeKwenda zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Maombi yako ni mazito sitayaweza.
Hahahaha, we wafaa kufuatwa PM ,usifungeKwenda zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Maombi yako ni mazito sitayaweza.
Muda wa mazoezi huu jamaniSina hakika na usemacho. ...wewe pia wanakujalia pm??
Hahahaha, Naomba nije kwako rasmi huko PMMimi pm sijafunga. Nyie mnaipitaga kama hamuioni.
Hadi najiuliza Why Mimi!!
Naomba usifunge mpaka na mimi niingie please[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]andaa hiyo pm "Malikia" nakujaa.
Sometimes they speak English out here and it's a completely different language in thereMkuu hujawahi kumwomba namba mwanamke ambaye umeonana naye on the spot?
Approach yako ndiyo inayokubeba, siyo swala la kumzoea. Otherwise hata hiyo PM itakuwa wazi na hautajabiwa.
Learn the language, learn the style, and be confident.
Aaaaaaa acha hizo basiMimi pm sijafunga. Nyie mnaipitaga kama hamuioni.
Hadi najiuliza Why Mimi!!
Wameunga mkono hoja .Hongera kwa kupata likes if they mean what they mean
Hahahaha, kumbe umeifunga
Haujanikosea sema nini, wewe haupendi kujishusha na Mimi sipendi kujishusha.Hvi nilikukosea nini mimi lakini? ??[emoji23][emoji24][emoji24]
Okay , fungua pm yako nakuja.Deal...,[emoji4]
Siwezi kufunga pm.Hahahaha, we wafaa kufuatwa PM ,usifunge
Njoo mkuu, ujenge na nyumba kabisa.Hahahaha, Naomba nije kwako rasmi huko PM
Hahahaha, ndio hujaona?Eee umeniandikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda zako[emoji23][emoji23].Naomba usifunge mpaka na mimi niingie please
Hahahaha, umefunga bana ,fungua tuyajenge kdgSiwezi kufunga pm.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, sawa fungua basiNjoo mkuu, ujenge na nyumba kabisa.
Dah... yaani...sijui wanajisikiaje hao wasio wa kike wanapotokewa na wasio wa kike wenzao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kufunga PM ni kujipandisha dau, yaani utambue kuwa anasumbuliwa sana! Ila wengine ID na avatar za kike ila sio wakike.
Kwani kuna wanaume huku wanafunga pm?Okay , fungua pm yako nakuja.
Ningekua the luckiest man in the planet!The man himself! Hivi ni wewe ambae ushabadili IDs zaidi ya 5 kisa kusumbuliwa PM na chicks?