Shida ya huko pm cha kwanza huwa mnaomba picha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani
Niahidi hautaomba picha hapa hapa.
Shida ya huko pm cha kwanza huwa mnaomba picha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani
And you need to be very careful for the same🤣🤣🤣Halafu hizi ID mpya huku unaonekana wazi wa siku nyingi hamna mtu atahangaika na PM zako, kuchorana sio vizuri.
Uzoefu gani? Uzoefu wangu ni kwamba wale wanaojifanya hawaendi PM ndio mabingwa wa kushinda huko.Hahahaha, kama Mimi tu, ila sio MTU wa PM ,nipe uzoefu Mzee mwenzangu
Kwani kila unachoombwa lazima ukubali kutoa? Kama jibu ni ndio nifungulie tafadhali.Shida ya huko pm cha kwanza huwa mnaomba picha.
Niahidi hautaomba picha hapa hapa.
Mzee baba una practice hizi mambo nini??😀😀😀😀Hapa hapa jukwaani, kuna swaga lazima utumie kuomba unlock.
Kama vile unavyomwomba msogee pembeni umwambie jambo kama hapo mlipo kuna watu.
Nifungulie basi na mimi hiyo piem jamani[emoji23][emoji23][emoji23]hivi wanaume walivyo wachache watu wanafungaje pm jamani.
ID mpya huwa naziangalia kwa macho manne.And you need to be very careful for the same🤣🤣🤣
Sina hakika na usemacho. ...wewe pia wanakujalia pm??Usumbufu bahna pm wanakuja kama 25 kwa siku ai wewe ni vodashop
Hongera kwa kupata likes if they mean what they mean[emoji23][emoji23][emoji23]hivi wanaume walivyo wachache watu wanafungaje pm jamani.
HahahahaUzoefu gani? Uzoefu wangu ni kwamba wale wanaojifanya hawaendi PM ndio mabingwa wa kushinda huko.
Kwenda zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwani kila unachoombwa lazima ukubali kutoa? Kama jibu ni ndio nifungulie tafadhali.
Akikujibu nishtue mwananguNa wewe kumbe umo? Hebu tuambie kwanini mnafunga?
The man himself! Hivi ni wewe ambae ushabadili IDs zaidi ya 5 kisa kusumbuliwa PM na chicks?You need to master the art of making e'm come to your PM.
When the hunter gets hunted, the game gets real and fun!
The man himself! Hivi ni wewe ambae ushabadili IDs zaidi ya 5 kisa kusumbuliwa PM na chicks?You need to master the art of making e'm come to your PM.
When the hunter gets hunted, the game gets real and fun!
Hvi nilikukosea nini mimi lakini? ??[emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]hivi wanaume walivyo wachache watu wanafungaje pm jamani.
Hahaha hahaha hahahaUzoefu gani? Uzoefu wangu ni kwamba wale wanaojifanya hawaendi PM ndio mabingwa wa kushinda huko.
Mimi pm sijafunga. Nyie mnaipitaga kama hamuioni.Nifungulie basi na mimi hiyo piem jamani
NooNdio yuleyule anaemsifia kuwa ni masturbater!?
Deal...,[emoji4]Shida ya huko pm cha kwanza huwa mnaomba picha.
Niahidi hautaomba picha hapa hapa.