Sijaolewa bado lakini.am oly in love.nikitongozwa nikatae?Tatizo huyo hata akipata anaendelea kutafuta tu. Hatufai huyo tutafute mwingine
Naam swadaktaHapana.sie tuendelee kufanya yetu tu ya msingi.
Ndio yuleyule anaemsifia kuwa ni masturbater!?Nampenda sana mpenzi wangu.hata jf naiona ovyoovyo siku hizi
Na wewe umefunga PM....hivi mlikaa kikao mkafikia huo uamuzi?Kuchorana kwingi, mtu mmoja ID kibaooo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo kwanza May, nikikufungulia sasa hivi hadi DEC tutakuwa hatujagombana kweli?Fungua hahaha miezi imekaribia
HapanaNa wewe umefunga PM....hivi mlikaa kikao mkafikia huo uamuzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo kwanza May, nikikufungulia sasa hivi hadi DEC tutakuwa hatujagombana kweli?
Hahahaha, kumbe ndivyoKufunga PM ni kujipandisha dau, yaani utambue kuwa anasumbuliwa sana! Ila wengine ID na avatar za kike ila sio wakike.
Hapana
Mimi sijafunga wala! Ila nikijibu salam moja inatosha!
Na wewe umefunga PM ?Salama
Nakaribia miaka kumi humu(kwa ID hii)Hahahaha, kumbe ndivyo
Kufunga PM ndio habari ya JF hata wale ambao hawajawahi kutumiwa PM nao wanafungaNa wewe umefunga PM ?
Nimekumbuka mtu anakusalimia daily pm kaaaah nilivyoifunga nikapumuaaaaa
Mmmh
Hahahaha, asee JF banaKufunga PM ndio habari ya JF hata wale ambao hawajawahi kutumiwa PM nao wanafunga
Umeambiwa ufungue PM.Mi nipo?
Hahahaha, kama Mimi tu, ila sio MTU wa PM ,nipe uzoefu Mzee mwenzanguNakaribia miaka kumi humu(kwa ID hii)