Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,586
Hapana.sie tuendelee kufanya yetu tu ya msingi.Ambao hatuna muda wa kwenda kwenye PM zao tunaruhusiwa kunena chochote hap
Mkishachokana JF inakusubiri uje kumwaga mapovu na kuomba ushauriNampenda sana mpenzi wangu.hata jf naiona ovyoovyo siku hizi
Daah kwa hiyo hautaki nikufungulie tena?Hahahaha wewe hapana aisee![]()




Natamani kutokumfungulia lakini huwa sipendi kubishana na Unabii. Unabii lazima utimie.Hahaha, kwa hiyo unakaribia kumfungulia hazard cfc?
Tuko wengi aisee. Sikujua inafungwa. Hio PM ndo imenipatia mume. Shukrani sana JF.Mie sikuwa najua kama kuna kulock pm, nimejua leoo hahaa
Kama mm.Toka nijiunge jf pm yangu ishani notify only 2 timesBasi una raha, Mimi pm yangu hadi inaota nyasi.
Sipati pm hata moja kwa siku![]()
Umeulizwa?Nampenda sana mpenzi wangu.hata jf naiona ovyoovyo siku hizi
Natamani kutokumfungulia lakini huwa sipendi kubishana na Unabii. Unabii lazima utimie.
Waambie hawa waendelee kupishana future hubbies...T
Tuko wengi aisee. Sikujua inafungwa. Hio PM ndo imenipatia mume. Shukrani sana JF.
Kumbe Miss Natafuta ulishampata uliyekua unamtafuta?Nampenda sana mpenzi wangu.hata jf naiona ovyoovyo siku hizi
Tatizo huyo hata akipata anaendelea kutafuta tu. Hatufai huyo tutafute mwingineKumbe Miss Natafuta ulishampata uliyekua unamtafuta?
Maskini mimi sina bahati maana tulishayapanga na babu Asprin afanye mchakato wa kuleta posa.
Ulimwengu wako ni kama haupo kwa Dunia ya wanawake waTanzania, hapa JF.Mkuu hujawahi kumwomba namba mwanamke ambaye umeonana naye on the spot?
Approach yako ndiyo inayokubeba, siyo swala la kumzoea. Otherwise hata hiyo PM itakuwa wazi na hautajabiwa.
Learn the language, learn the style, and be confident.