Wanawake bikra bado wapo!

Bado wapo ushahidi ninao kuna kibinti mzumbe ya mbeya tumesumbuana mno kana 21 tu hapo
 
Ushahidi upo ni engineer ana masters na miaka 34. Bado anasubiri the right man
 
Zipo kibao, unatakiwa kuwa na ujuzi wa kujua tu, mimi nikiangalia mdada najua tu hapa ipo hapa hakuna, hapa mnato, hapa bwawa, mimi kwa mwezi huwa sikosi moja au mbili nazitindua tena Wafanyakazi wa sekta binafsi na umma, mwenye kuhitaji huo ujuzi anicheki analipia na Ada kidogo.
 
aaah unatufunga kamba, mimi nilikuwa bikra mpaka utu uzima lakini usingeweza kunidhania.
Nyie wanaume mnaangalia kama maziwa yamesimama lakini yanaweza kulala na bado ukawa bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…