autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Wanasema wanataka a real man
Ila moyoni wanajua wanataka mwanaume mwenye pesa

Kwanini?
Bora imekua alhamisi, ijumaa pia ni mapumziko basi rahajeee!!
Ntadekajeeeee!!!
Wanawake nishiida, juzijuzitu nilimkuta wangu kakaakibalazani kwangu na mpakarangi kamshika mguu eti anamuweka kucha feki,nakumpakarangi, nili minde sana semanikajikaushatu but next time I will kick this guy.
Wanasema wanataka a real man
Ila moyoni wanajua wanataka mwanaume mwenye pesa
Hivi mwaka huu krismas ipo siku gani vile..??
huajawahi kujiuliza kwanini wanawake wazuriii ndio hawaolewei, wale wa kawaida kila siku wanaolewa na kuheshimiwa. enzi zangu, hao wazurii na wanaojichubua, sistaduuz n.k nilikuwa nagonga mno lakini mke niliyekuja kuoa hajichubui, mweusi natural na anavaa mavazi ya kiadamu, mlokole saafi. wengine hao enzi zangu nilitafuna kama bablish kuwatema huko.
hujawahi kujiuliza kwanini mabaamedi wote ni wazuriiii, kwanini wanenguaji wote ni wazuriii, kwanini machangudoa wote ni wazurii? utapata jibu kuwa wanawake wazuriiii ndio waliochezewa na kuharibiwa wamebaki uzuri wa sura tu kwenye papuchi na tabia ni takataka ndio maana hawaolewi. hao wote wenye vitu feki ni utoto, wakikua huwa wanakuja kujilaumu kwanini wasingetulia kubaki natural ili waolewe na wanaume wa heshima. kwasababu kila anayewaona anawaona ni virukanjia wa kupiga na kusepa tu.
Labda tuanzie hapo REAL MAN ni mwanaume wa namna gani labda?... maana nikuunganisha nachofahamu na hilo point za ufeki ulizoweka hapo sioni nikiona muunganiko wa ufeki wa mwili wa mwanamke na maana ya wao kuhitaji Real man (Gentle man).
I stand to be corrected Mkuu mandella
huajawahi kujiuliza kwanini wanawake wazuriii ndio hawaolewei, wale wa kawaida kila siku wanaolewa na kuheshimiwa. enzi zangu, hao wazurii na wanaojichubua, sistaduuz n.k nilikuwa nagonga mno lakini mke niliyekuja kuoa hajichubui, mweusi natural na anavaa mavazi ya kiadamu, mlokole saafi. wengine hao enzi zangu nilitafuna kama bablish kuwatema huko.
hujawahi kujiuliza kwanini mabaamedi wote ni wazuriiii, kwanini wanenguaji wote ni wazuriii, kwanini machangudoa wote ni wazurii? utapata jibu kuwa wanawake wazuriiii ndio waliochezewa na kuharibiwa wamebaki uzuri wa sura tu kwenye papuchi na tabia ni takataka ndio maana hawaolewi. hao wote wenye vitu feki ni utoto, wakikua huwa wanakuja kujilaumu kwanini wasingetulia kubaki natural ili waolewe na wanaume wa heshima. kwasababu kila anayewaona anawaona ni virukanjia wa kupiga na kusepa tu.
Hivi mwaka huu krismas ipo siku gani vile..??
huajawahi kujiuliza kwanini wanawake wazuriii ndio hawaolewei, wale wa kawaida kila siku wanaolewa na kuheshimiwa. enzi zangu, hao wazurii na wanaojichubua, sistaduuz n.k nilikuwa nagonga mno lakini mke niliyekuja kuoa hajichubui, mweusi natural na anavaa mavazi ya kiadamu, mlokole saafi. wengine hao enzi zangu nilitafuna kama bablish kuwatema huko.
hujawahi kujiuliza kwanini mabaamedi wote ni wazuriiii, kwanini wanenguaji wote ni wazuriii, kwanini machangudoa wote ni wazurii? utapata jibu kuwa wanawake wazuriiii ndio waliochezewa na kuharibiwa wamebaki uzuri wa sura tu kwenye papuchi na tabia ni takataka ndio maana hawaolewi. hao wote wenye vitu feki ni utoto, wakikua huwa wanakuja kujilaumu kwanini wasingetulia kubaki natural ili waolewe na wanaume wa heshima. kwasababu kila anayewaona anawaona ni virukanjia wa kupiga na kusepa tu.
Krismas imeahirishwa hadi mwakani mwezi February....

Imehairishwa kupisha uchaguzi mdogo utakaorudiwa
halafu inapendeza sana hiyo a Really Man uitamke ukiwa umeibana pua kwa nguvu sana huku ukiyumbisha kiuno