Wanawake bana, Eti "I want a Real Man"

Wanawake bana, Eti "I want a Real Man"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Wanawake wa siku izi bana, unakuta mtu anakomaa kweli kusema anataka a Really Man While Yeye mwenyewe;

Makalio feki.
Macho feki.
Rangi ya ngozi feki.
Kucha feki.
Nywele feki.

Huyu Really Man unampataje? Jichunguze kwanza if wewe upo really ndipo u demand a Real man.
 
Wenyewe wapo njiani haooo wanakuja subiri majibu yako.
 
Wanawake wa siku izi bana .... unakuta mtu anakomaa kweli kusema anataka a Really Man

While .
Yeye mwnyewe .

Makalio feki.
Macho feki .
Rangi ya ngozi feki.
Kucha feki .
Nywele feki .

Huyu Really Man unampataje . ? Jichunguze kwanza if ww upo really ndipo udemand a Real man .
halafu inapendeza sana hiyo a Really Man uitamke ukiwa umeibana pua kwa nguvu sana huku ukiyumbisha kiuno
 
Nasie Tutafte Wanawake Wakiaje Ikiwa Wote Wanafanana
 
Back
Top Bottom