Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Daaah ingekuwa ijumaa ingekuwa poa sana
Jamani my wii si kama ni alhamis si na kesho yake pia huwa nimapumziko au sio hivyo?
Daaah ingekuwa ijumaa ingekuwa poa sana
Hapana.
x-mas ni siku ya kupumzika na mchepuko.
Jamani my wii si kama ni alhamis si na kesho yake pia huwa nimapumziko au sio hivyo?
Ni kweli huwa ni mapumziko ila sie wengine tunaenda kwa wakoloni hadi jumamosi
"a Really Man" ndo nini?
kuvukland even their hair are not real!
huajawahi kujiuliza kwanini wanawake wazuriii ndio hawaolewei, wale wa kawaida kila siku wanaolewa na kuheshimiwa. enzi zangu, hao wazurii na wanaojichubua, sistaduuz n.k nilikuwa nagonga mno lakini mke niliyekuja kuoa hajichubui, mweusi natural na anavaa mavazi ya kiadamu, mlokole saafi. wengine hao enzi zangu nilitafuna kama bablish kuwatema huko.Wanawake wa siku izi bana, unakuta mtu anakomaa kweli kusema anataka a Really Man While Yeye mwnyewe;
Makalio feki.
Macho feki .
Rangi ya ngozi feki.
Kucha feki .
Nywele feki .
Huyu Really Man unampataje . ? Jichunguze kwanza if wewe upo really ndipo udemand a Real man .
Hahahaha halafu wewe!!!
Huyo mkoloni gani ambaye hajui sikukuu jamani my wii????
Wanawake wa siku izi bana, unakuta mtu anakomaa kweli kusema anataka a Really Man While Yeye mwnyewe;
Makalio feki.
Macho feki .
Rangi ya ngozi feki.
Kucha feki .
Nywele feki .
Huyu Really Man unampataje . ? Jichunguze kwanza if wewe upo really ndipo udemand a Real man .
Kwenu nyie ''a real man'' ni mwenye vitu viwili tu....cheddah & mgegedo....!!Umeenda kinyume sana na Ile maana tumayokusudia,
Kwenu nyie ''a real man'' ni mwenye vitu viwili tu....cheddah & mgegedo....!!
Daaah ingekuwa ijumaa ingekuwa poa sana
Labda tuanzie hapo REAL MAN ni mwanaume wa namna gani labda?... maana nikuunganisha nachofahamu na hilo point za ufeki ulizoweka hapo sioni nikiona muunganiko wa ufeki wa mwili wa mwanamke na maana ya wao kuhitaji Real man (Gentle man).
I stand to be corrected Mkuu mandella