Wanawake Arusha wanasikitisha, vipi mikoa Mingine?

Wanawake Arusha wanasikitisha, vipi mikoa Mingine?

Ingefaa baada ya suala la katiba tukae kama taifa na kujiwekea vipaumbele na adhabu kwa watakaokiuka. Mfano hawa watu waliotajwa wanafanya uchuuzi tu. Kuwepo na uzalishaji na masoko, kuwe na viwanda vya umma na uteuzi usiwe wa raisi ili atakayeshindwa atolewe mara moja.Tutake tusitake kama tunataka maendeleo ya watu turudi kwenye sera za ujamaa ulioboreshwa.

Mgalatia una busara sana. keep it up bro.
 
Wadau ukifika Arusha kuna hali ya kusikitisha, wanawake na baadhi ya vijana wamejaa mji mzima, kila kona ya mitaa wanauza Nyanya na mbogamboga mbalimbali katika maeneo ambayo uwezi kudhania kuwa mtu anaweza kuuza mboga za majani.

Kibaya zaidi ukifika pale friends corner(opposite to CRDB bank) utakuta baadhi yao wanauza nyama mbichi ya kuku, yaani kuku anakatwa vipande. Nyama hizo ni fresh kabisa, hazifunikwi, nzi wanarukia, vumbi, watu wanapita nk, bibi afya wamelala. Anyway, ukifikiria utagundua kuwa watu hawa wamekata tamaa, wanatafuta angalau cha kuingia kinywani, wanatafutia watoto wao. Hakuna viwanda, hawana elimu watafanyaje!. Maisha ya Mtanzania yamekuwa magumu, Mtanzania sasa anaona umaskini ni sehemu ya maisha yake ndiyo maana ukija uchaguzi anapigia chama kilekile kilichojigawia nyumba za umma, kuua viwanda, sasa ni zamu ya meno ya Tembo

Vipi mikoa mingine, hali ikoje?

Mbaya zaidi unakuta wako kwenye shughuli kama hizi za kudunduliza vijisenti halafu LEMA anaitisha maandamano na kufanya fujo, matokeo yake wanapoteza mtaji na kidogo walichonacho kinaibiwa na wahuni wanaoandamana.
 
Mbona wa mama wa Arusha ni wachapa kazi sana mkuu kuliko wanaume!,njoo kwenye fani zetu za ujenzi uwaone walivyo tulia!,wanatoa dozi sana!,hawa lali!.
 
Wadau ukifika Arusha kuna hali ya kusikitisha, wanawake na baadhi ya vijana wamejaa mji mzima, kila kona ya mitaa wanauza Nyanya na mbogamboga mbalimbali katika maeneo ambayo uwezi kudhania kuwa mtu anaweza kuuza mboga za majani.

Kibaya zaidi ukifika pale friends corner(opposite to CRDB bank) utakuta baadhi yao wanauza nyama mbichi ya kuku, yaani kuku anakatwa vipande. Nyama hizo ni fresh kabisa, hazifunikwi, nzi wanarukia, vumbi, watu wanapita nk, bibi afya wamelala. Anyway, ukifikiria utagundua kuwa watu hawa wamekata tamaa, wanatafuta angalau cha kuingia kinywani, wanatafutia watoto wao. Hakuna viwanda, hawana elimu watafanyaje!. Maisha ya Mtanzania yamekuwa magumu, Mtanzania sasa anaona umaskini ni sehemu ya maisha yake ndiyo maana ukija uchaguzi anapigia chama kilekile kilichojigawia nyumba za umma, kuua viwanda, sasa ni zamu ya meno ya Tembo

Vipi mikoa mingine, hali ikoje?

Mkuu watu wa kaskazini hususan Klimanjaro, Arusha na manyara wana asili ya uchakarikaji, ni watu wasiopenda kubweteka na kusubiri kuomba omba!

shukuru umeona wakiwa wanajisughulisha ingawa si shughuli rasmi lakini bora wao kuliko wale ambao huwaoni lkn ukweli ni kwamba wanatabika na njaa kupita kiasi!

kwa kifupi ni kwamba uliowaona Arusha wanajua wanakula nn usiku, hao usioaona mikoa mingine ni hatai zaidi maana hawajui hata watakula nn!
 
Nafikiri hii ni shida kubwa kuliko wauza mchicha.
Kuuza mchicha sio kihashiria cha shida, ni kiashiria cha aina ya watu watafutaji.

9k=
Katika maeneo rasmi lakini, siyo kila kona ya mji, na siyo kila mwananchi, hii ni kiashiria cha umaskini.
 
Na wewe huwa ni zuzu kabisa. hao wabunge wa CCM woote waliopita walifanya nini? Hali hiyo haikuanza leo wala jana bali imeanzishwa na CCM
 
wakinamama wa arusha wamekata tamaa kabisa, wamemchagua lema wakifikiri hali zao duni zitapungua kumbe ndio zinaongezeka, lema na wahuni wenzake wanaandaa maandamano kila siku ili wawapore wanawake wafanyabiashara ndogo ndogo bidhaa zao. hasira zao tutaziona kwenye uchaguzi mwakani watahakikisha wanainyima kura chadema uliyowasababishia umasikini wa kutisha

Lazima utakuwa unagegedwa na PENA, kila kitu Lema. Anakutisha sana ee?
 
Hiyo ndio Tanzania yetu ambayo tumeikabidhi CCM wanaendelee kututesa zaidi ya miaka 53.Kimsingi tunahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiuongozi katika TANZANIA YETU.
 
Na wewe huwa ni zuzu kabisa. hao wabunge wa CCM woote waliopita walifanya nini? Hali hiyo haikuanza leo wala jana bali imeanzishwa na CCM
Imeanzishwa na CCM halafu CDM wakaendeleza au wakarekebisha????
 
we mgeni Tanzania? maana hayo yapo kila mahali.....sijui tutajie wapi?
 
Ukiacha mazingira, wanawake Arusha ni wahangaikaji/watafutaji sana. Kupitia biashara zao halali za kuuza nyanya na mchicha wanalea familia, wanalipa kodi na kusomesha watoto.
 
Mkuu watu wa kaskazini hususan Klimanjaro, Arusha na manyara wana asili ya uchakarikaji, ni watu wasiopenda kubweteka na kusubiri kuomba omba!

shukuru umeona wakiwa wanajisughulisha ingawa si shughuli rasmi lakini bora wao kuliko wale ambao huwaoni lkn ukweli ni kwamba wanatabika na njaa kupita kiasi!

kwa kifupi ni kwamba uliowaona Arusha wanajua wanakula nn usiku, hao usioaona mikoa mingine ni hatai zaidi maana hawajui hata watakula nn!

Anafikiri Arusha ni sawa na Msoga au Bagamoyo. Wanawake wote wamekaa kwenye kivuli cha kajumba ka tope wanazunguka na kivuli cha nyumba kama saa...huku wamejifunga kanga moja wanapiga story wanangoja mzee atoke kuvua samaki wapike ugali then watiwe kimoja warudi kupiga umbea.
 
Mbaya zaidi unakuta wako kwenye shughuli kama hizi za kudunduliza vijisenti halafu LEMA anaitisha maandamano na kufanya fujo, matokeo yake wanapoteza mtaji na kidogo walichonacho kinaibiwa na wahuni wanaoandamana.

kweli we zuzu. ulichokiona ni LEMA tu. huko kote ambako hamna maendeleo ni lema ndio anaitisha maandamano? hao wanawake wameanza kuuza mboga baada ya lema kuwa mbunge?
ebu jikaze wewe wacha kuzungumza kama unakunya. sometime bora ukae tu kimya maana ndio unazidi kuonyesha uzuzu wako.
 
Niliwahi kuishi arusha miaka fulani, na kuona hali hiyo. Nilipenda sana wanawake wa arusha walivyo wahangaikaji, yaani hadi raha! Tatizo pale sio hao akina mama, bali ni miundo mbinu mibovu na gharama kubwa za maisha arusha; ndio maana mazingira ya biashara ni duni. Ila naona na wateja wao poa tu wataenda kuosha, ndio maana life goes on. Big up sana akina mama wachakarikaji arusha, I LOVE YOU ALL!
 
Watanzania wengi ni wavivu......
uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo? yaani kwa sababu ya sheria tu wewe uko kwenye orodha ya watu wengine ambao walistahili kuwa mbugani porini...... acha kujidhalilisha kwa kuwaza hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom