Wanawake Arusha wanasikitisha, vipi mikoa Mingine?

Katika maeneo rasmi lakini, siyo kila kona ya mji, na siyo kila mwananchi, hii ni kiashiria cha umaskini.

Kuza upeo wako mkuu. Sasa kama sio kila mwananchi unataka nani atafute nani alale? Karejee tena viashiria vya maendeleo ya mtu binafsi, kisha rudi hapa na pointi za kiume
 
Ni wepi bora! Kina mama wa Arusha wanao uza kuku tena fresh au wake wa Dar wanaiuza utumbo wa kuku na miguu ya kuku na vichwa vyake??

Hao wa Dar wanauza mjini? Au nje ya 'maduka yenye hadhi ya kimataifa' na mabenki? Hapo kazungumzia Arusha katikati ya 'Jiji', huko maeneo ya uswazi hali itakuwaje?
 
Kina mama wa Arusha wako juu. njoo huku kwenye migodi uone dada zetu wanavyonyanyasika. au pale ohio wanavyodhalilishwa na wageni wa ccm hasa wahindi. utatamani ubakie Arusha milele

Hahahaa, hata Arusha wapo...
 
uwezo wako wa kufikiri ndiyo umeishia hapo? yaani kwa sababu ya sheria tu wewe uko kwenye orodha ya watu wengine ambao walistahili kuwa mbugani porini...... acha kujidhalilisha kwa kuwaza hovyo hovyo

Nimekubali uzee wako mkuu! Kuna watu wanajaza vyoo tu, bora hata wangezaliwa fisi huko porini
 
Tatizo si wanawake,vijana wala wananchi!

tatizo ni huyu shehe tuliyempa nchi!

Amesoma economics lakini anaendesha mambo kama vile amesoma taarabu!

Mipasho mipasho tu!

Unamdhalilisha hivi rais wa nchi na kumuita majina yote mabaya ya dunia hii, halafu mwisho wa siku unakemea watu wanaomkashifu BABU slaa.
 
Anafikiri Arusha ni sawa na Msoga au Bagamoyo. Wanawake wote wamekaa kwenye kivuli cha kajumba ka tope wanazunguka na kivuli cha nyumba kama saa...huku wamejifunga kanga moja wanapiga story wanangoja mzee atoke kuvua samaki wapike ugali then watiwe kimoja warudi kupiga umbea.

hahaha umemwambia ukweli, maana hata sielewi anataka kusema nini! Utadhani ni mgeni Tz! Natamani nimtukane kikwetu
 
..Umefika Arusha na kuiona hiyo hali ya akinamama ukitokea sehemu gani ya nchi hii ambako kuna unafuu? Sijaona popote nchini wauza vyakula wanajali afya, si yamlaji wala yeye muuzaji. Ni hela ya kujikimu ndio jambo muhimu kwao. Kila mtu anatafuta pesa iingie mfukoni, kwa mbinu na vyanzo tofauti.
 
Hao wa Dar wanauza mjini? Au nje ya 'maduka yenye hadhi ya kimataifa' na mabenki? Hapo kazungumzia Arusha katikati ya 'Jiji', huko maeneo ya uswazi hali itakuwaje?

Kumbuka arusha ni jiji tofauti kidogo mkuu, hiyo city centre usiimagine kama posta au kariakoo. Uswazi biashara hakuna, ndio maana wanauzia city centre
 
Unamdhalilisha hivi rais wa nchi na kumuita majina yote mabaya ya dunia hii, halafu mwisho wa siku unakemea watu wanaomkashifu BABU slaa.
kumbe wakati mwingine unawaza vizuri, ndiyo maana leo nimekupa like yangu. Huyo jamaa, sijaipenda lugha aliyoitumia. I am just thinking loudly
 
waone hivyo utawaonea huruma,
ila kama unajiweza kiac chukua mmoja weka ndani uone.
Ni washenz sana na anaweza kukutanguliza kisa kamjengo na mkoko.
Hawana maana hao.
Let them get what they desolve.
 
Nina hakika Halmashauri ya Jiji la Arusha ndilo lenye jukumu la kuwatengea mazingira mazuri ya kufanyia biashara wananchi hawa ambao wanaendesha shughuli zao maeneo yasiyo rasmi. Ni vema wakapaza sauti zao kwa Halmashauri ili watafutiwe eneo rasmi na linalokubalika kwa ajili ya shughuli zao.Halmashauri nao waache kuchukua ushuru kwa wafanyabiashara hawa kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kwamba wanahalalisha uwepo wao katika eneo hili. Bila kusahau bwana afya wa Jiji amka utekeleze majukumu yako kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara hawa namna ya kufanya biashara katika hali ya usafi katika eneo rasmi mtakalo watafutia.
 
Mkuu umesema ukwel, wanatumia furusa vizr ila hao kina dada wa ar duh ni mgogolo
Kuishi nao unapaswa uwe na digilii ya theologia vinginevyo, utakimbia mji au
Kutangulizwa kibla
 
Kuza upeo wako mkuu. Sasa kama sio kila mwananchi unataka nani atafute nani alale? Karejee tena viashiria vya maendeleo ya mtu binafsi, kisha rudi hapa na pointi za kiume

Wewe upeo wako ndiyo chini kabisa, wewe unafurahia nchi nzima kuwa wamachinga?, Udereva pikipiki na kuuza nyanya ovyo mitaani?, nchi zenye uchumi mzuri watu wamespecialize, lakini hapa kwetu wanawake wanauza mbogamboga ovyo mitaani huku waume zao wakiwa madereva pikipiki. Nadhani wewe ni ccm, maana hiyo ndiyo sera yenu
 
Kuza upeo wako mkuu. Sasa kama sio kila mwananchi unataka nani atafute nani alale? Karejee tena viashiria vya maendeleo ya mtu binafsi, kisha rudi hapa na pointi za kiume

I mean specialization, si kila mwanamke auze mchicha, si kila kijana awe machinga, si kila mwanaume/kijana awe dereva pikipiki, thing outside the box
 
Nina hakika Halmashauri ya Jiji la Arusha ndilo lenye jukumu la kuwatengea mazingira mazuri ya kufanyia biashara wananchi hawa ambao wanaendesha shughuli zao maeneo yasiyo rasmi. Ni vema wakapaza sauti zao kwa Halmashauri ili watafutiwe eneo rasmi na linalokubalika kwa ajili ya shughuli zao.Halmashauri nao waache kuchukua ushuru kwa wafanyabiashara hawa kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kwamba wanahalalisha uwepo wao katika eneo hili. Bila kusahau bwana afya wa Jiji amka utekeleze majukumu yako kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara hawa namna ya kufanya biashara katika hali ya usafi katika eneo rasmi mtakalo watafutia.

Tatizo si maeneo, tatizo hawana ajira mbadala, kuna maeneo manne, yaani Tengeru, Soko kuu, Kilombero, NMC. Lakini kwa sababu ni wengi na nchi haina viwanda hivyo wamehamua hadi kwenda City center
 
Ni serikali ya chichiem..
Inasikitisha..maana ilishakufa viongozi wapo kimazoea wababe hawajitambui xo inchi inajiendea tu bola liende ki ukweli mi binafci naona navimilia tu maana kila pande naona masikitiko mbaya zaidi kunakuwa na chombo husika cha serikali lkn bado hali ni mbaya mno
 
Wadau ukifika Arusha mjini utaona hali ya kusikitisha, wanawake na baadhi ya vijana wamejaa mji mzima, kila kona ya mitaa wanauza Nyanya na mbogamboga mbalimbali katika maeneo ambayo uwezi kudhania kuwa mtu anaweza kuuza mboga za majani.

Kibaya zaidi ukifika pale friends corner(opposite to CRDB bank) utakuta baadhi yao wanauza nyama mbichi ya kuku, yaani kuku anakatwa vipande. Nyama hizo ni fresh kabisa, hazifunikwi, nzi wanarukia, vumbi, watu wanapita nk, bibi afya wamelala.

Kuuza nyanya ni sehemu ya maisha, ni kujishughulisha, lakini inatakiwa iwe katika sehemu iliyo rasmi, lakini hapa utaona wametandika vigunia chini kila eneo. Kuijishghulisha ni muhimu sana, mimi ningeona wako kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbogamboga, wanazalisha na kufungasha kupeleka hata kwenye soko la nje hapo sawa, lakini kinachofanyika hapa ni indicator ya umasikini

Anyway, ukifikiria utagundua kuwa watu hawa wamekata tamaa, wanatafuta angalau cha kuingia kinywani, wanatafutia watoto wao. Hakuna viwanda, hawana elimu watafanyaje!. Maisha ya Mtanzania yamekuwa magumu, Mtanzania sasa anaona umaskini ni sehemu ya maisha yake ndiyo maana ukija uchaguzi anapigia chama kilekile kilichojigawia nyumba za umma, kuua viwanda, sasa ni zamu ya meno ya Tembo.

Vipi mikoa mingine, hali ikoje?

Simlaumu dada anayeuza nyanya na mbogamboga pembeni mwa barabara' nawalaumu vigogo waserekali chini ya chama tawala ccm wanaokwenda kutibiwa mafua ulaya, wanaojiongezea malupulupu kila uchao, wanaotembelea mav8 na kulala hoteli zakifahari wakati wananyumba zao zinakaliwa na magarderner!

Tanzania wee!
 
Wadau ukifika Arusha mjini utaona hali ya kusikitisha, wanawake na baadhi ya vijana wamejaa mji mzima, kila kona ya mitaa wanauza Nyanya na mbogamboga mbalimbali katika maeneo ambayo uwezi kudhania kuwa mtu anaweza kuuza mboga za majani.

Kibaya zaidi ukifika pale friends corner(opposite to CRDB bank) utakuta baadhi yao wanauza nyama mbichi ya kuku, yaani kuku anakatwa vipande. Nyama hizo ni fresh kabisa, hazifunikwi, nzi wanarukia, vumbi, watu wanapita nk, bibi afya wamelala.

Kuuza nyanya ni sehemu ya maisha, ni kujishughulisha, lakini inatakiwa iwe katika sehemu iliyo rasmi, lakini hapa utaona wametandika vigunia chini kila eneo. Kuijishghulisha ni muhimu sana, mimi ningeona wako kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbogamboga, wanazalisha na kufungasha kupeleka hata kwenye soko la nje hapo sawa, lakini kinachofanyika hapa ni indicator ya umasikini

Anyway, ukifikiria utagundua kuwa watu hawa wamekata tamaa, wanatafuta angalau cha kuingia kinywani, wanatafutia watoto wao. Hakuna viwanda, hawana elimu watafanyaje!. Maisha ya Mtanzania yamekuwa magumu, Mtanzania sasa anaona umaskini ni sehemu ya maisha yake ndiyo maana ukija uchaguzi anapigia chama kilekile kilichojigawia nyumba za umma, kuua viwanda, sasa ni zamu ya meno ya Tembo.

Vipi mikoa mingine, hali ikoje?

Umesema kweli ndugu! ila pale wanatengeneza hela safi sana nimefanya utafiti muda kidogo, unajua population inayo ishi kushuka unga ltd na viunga vyake mpaka Esso ni kubwa sana, na wafanya biashara na wafanyakazi wengi wa A town wanaishi maeneo hayo! sasa inapofika mida ya jioni pale pamegeuka ni sehemu ya kuchukulia mboga ya jioni na huwezi amini watu wanaweka hadi oda kwa oda ni mtu anapaki gari anapiga simu analetewa mboga analipa anaishia! jiulize nikwanini pamechangamka!
 
Wadau ukifika Arusha mjini utaona hali ya kusikitisha, wanawake na baadhi ya vijana wamejaa mji mzima, kila kona ya mitaa wanauza Nyanya na mbogamboga mbalimbali katika maeneo ambayo uwezi kudhania kuwa mtu anaweza kuuza mboga za majani.

Kibaya zaidi ukifika pale friends corner(opposite to CRDB bank) utakuta baadhi yao wanauza nyama mbichi ya kuku, yaani kuku anakatwa vipande. Nyama hizo ni fresh kabisa, hazifunikwi, nzi wanarukia, vumbi, watu wanapita nk, bibi afya wamelala.

Kuuza nyanya ni sehemu ya maisha, ni kujishughulisha, lakini inatakiwa iwe katika sehemu iliyo rasmi, lakini hapa utaona wametandika vigunia chini kila eneo. Kuijishghulisha ni muhimu sana, mimi ningeona wako kwenye mashamba ya uzalishaji wa mbogamboga, wanazalisha na kufungasha kupeleka hata kwenye soko la nje hapo sawa, lakini kinachofanyika hapa ni indicator ya umasikini

Anyway, ukifikiria utagundua kuwa watu hawa wamekata tamaa, wanatafuta angalau cha kuingia kinywani, wanatafutia watoto wao. Hakuna viwanda, hawana elimu watafanyaje!. Maisha ya Mtanzania yamekuwa magumu, Mtanzania sasa anaona umaskini ni sehemu ya maisha yake ndiyo maana ukija uchaguzi anapigia chama kilekile kilichojigawia nyumba za umma, kuua viwanda, sasa ni zamu ya meno ya Tembo.

Vipi mikoa mingine, hali ikoje?

Hii ni hali ya tanzania nzima kote watu khali nj mbaya japo bora wanajishughulisha na hizo kazi its better than kuwa wezi au makahaba... na hiyo pia ni khali ya africa nzima.... wacha wapige kazi...
 
Back
Top Bottom