Wanawake acheni roho mbaya

Thanks.

Siwezi kulia hata siku moja sema inakuwa siyo vizuri.

Pia kufanya hivyo siyo mwisho wa maisha yangu bali maisha yatasonga kama kawaida.

Ukiona mlango ule umefungwa ujue mwingine utafunguliwa punde.
Safi unajitambua songa mbele ikitokea siku anajirudissha kwako mtupe kwenye dustbin kabisa
 
Kuna wanawake wengine wanawachufulia CV.

Mpaka inafikia kuitwa majina ya ajabu ajabu
 
Ni kawaida sana kwa binadamu. Mtu anapretend akishapata anakimbia. Hata wewe ukienda kwenye interview unajipanga sana na kujibu vizuri ila ukishapata kazi unabadilika na kuwa kawaida
 
Ni kawaida sana kwa binadamu. Mtu anapretend akishapata anakimbia. Hata wewe ukienda kwenye interview unajipanga sana na kujibu vizuri ila ukishapata kazi unabadilika na kuwa kawaida
Point noted!
 
Safi unajitambua songa mbele ikitokea siku anajirudissha kwako mtupe kwenye dustbin kabisa

Thanks Mkuu!

Ingawa kulipiza kisasi siyo poa kabisa.

But ikitokea hivyo yani kajirudi nitatumia lugha nzuri kwake kumkimbiza.

Pia hakika nahisi nafasi yake itakuwa imechukuliwa tayari.
 
Hakupendi hata huyo keshapata chake.
 
Hahahhaahha punguza Kwanza maumivu ya kutendwa
Hahahahah!

Gari lililopoa huvuta gari mbovu.

Pia maumivu hayapoi kama unavyojua bali upate wa kuyapooza.

Natumai wewe ndiye.
 
Hakika Mkuu.

Ila kicheche akikukimbia muache atarudi akiwa analia.
Mungu anakupenda huwezi jua alikuepusha na nini? kubali matokeo na songa mbele mkuu. Kumbuka wanawake wamejaa tele, riziki yako utaipata tuu na mda huwa unasema kama wanavyosema wazungu we jipe mda halaf sikilizia uone mwisho wake utakuaje..
 
Halafu mambo ya kuja humu jamvini na kuanza kulialia mwanaume mzima mi huwa sipendi!
 
Mungu anakupenda huwezi jua alikuepusha na nini? kubali matokeo na songa mbele mkuu. Kumbuka wanawake wamejaa tele, riziki yako utaipata tuu na mda huwa unasema kama wanavyosema wazungu we jipe mda halaf sikilizia uone mwisho wake utakuaje..
Nashukuru kwa ushauri mzuri Mkuu!
 
Nikwambie tu pole
Tena shukuru kaondoka mapema kabla hajakutia hasara zaidi.
Halafu miezi miwili tu mshaanza mipango ya maisha?acha utani we we.
Unatakiwa umjue mtu vizuri atlest baada ya six months ndo uanze kupanga nae hivyo mtakavyovipanga.
Wanawake wa sasa hivi huwezi kutana nae leo kesho unapanga future utaibiwa labda ubahatishe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…