Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Hapana mi nimekosoma muda mrefu tu unaonekana mzuri kichwani na figure ipo ila Mkorofi korofi hivi.

Hahaaaaaa mkuu umenifurahisha aisee mi sio mkorofi ila sipendagi ujinga wa makusudi kabisa. Am so cool huwezi amini
 
Sonko Jr. kuna video nimeiona insta now nikakumbuka uzi wako..Dada amejiachia anacheza wig likadondoka..Shosti ake ili kumsitiri kaamua kulificha kwenye chupi watu wasilione Heaven Sent umekutana na hiyo video??..
 
Last edited by a moderator:
Sonko Jr. kuna video nimeiona insta now nikakumbuka uzi wako..Dada amejiachia anacheza wig likadondoka..Shosti ake ili kumstill kaamua kulificha kwenye chupi watu wasilione
Heaven Sent umekutana na hiyo video??..

Teh teh sijaiona mkuu

Itupie tuione, hayo ndo majanga yenyewe
 
Last edited by a moderator:
Sonko Jr. kuna video nimeiona insta now nikakumbuka uzi wako..Dada amejiachia anacheza wig likadondoka..Shosti ake ili kumsitiri kaamua kulificha kwenye chupi watu wasilione Heaven Sent umekutana na hiyo video??..

Hahaha sijaiona daddy, itupie tuone
 
Last edited by a moderator:
Noted ,tumekusikia na tunaifanyia kazi ..na tutasuka Juma na Rosa au twende Kilioni ,Kofia Upande na Kilimanjaro
Nice one mtoa mada
 
[video]https://www.instagram.com/p/-gMRDaD-r4/?taken-by=mangekimambi_[/video]
 
Back
Top Bottom