Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
- Thread starter
- #561
Imani yangu hainiruhusu sio tu kuvaa mawig bali hata kutembea kichwa wazi,
Sasa fanya hivi ukimuona mwanamke mwenye wig usimsalimie hata akiwa nduguyo, kuonesha msimamo wako.
Ndiyo maana ulitaka kuongelea hii issue kiimani zaidi, ili iendane na vikwazo vyako
Salamu ni jambo la kheri
Sio kwamba kwa sababu sivutiwi au kupendezwa na fake hair ndo nisisalimie au kuongea na aliyezivaa,
Ingekuwa hivyo salamu zingekuwa adimu kama Kenya