Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
- Thread starter
- #541
Wazungu wenyewe wanavaa mawigi na kutumia weaving vizuri tu. Wahindi ndo nywele zao halisi na wafilipino acheni ushamba mu google muelewe sio mihemko na ubahili kwa watu wenu
Usiishi kwa kukariri
Kwani wewe bila Fake hair unaweza kuwa na nywele ndefu kama hao wazungu, wahindi na wafilipino?
Hivyo vitu havina maana, mwanamke anayejielewa wala hawezi kuhangaika nazo, ni wale tu wachache wanaofanya vitu kwa sababu rafiki yake au mtu mwingine kafanya