Wanawake acheni kuvaa mawigi

sema huna hela ya kumpa mkeo akanunue alafu una kitambi
TOA KWANZA HUO MTAMBI NDO TUONGEE KUHUSU MAWIG
Mkuu mada ya vitambi ina uzi wake..Hapa yanaongelewa mawig
 
Hii ni ishara kuwa mwanamke....ni mchafu na hajipendi.....
Kama mwanamke unajua namna ya kutunza nywele zako na zikawa za kuvutia kuna sababu gani ya wewe kuzificha na mawigi......
 
Binafsi siwezi kutoka bila wigi kama siyo basi Nina weaving
Wigi Nina kuanzia la Rihhana mpaka LA shontelle

Kwa iyo ukivaa unajiona Rihanna mwenyewe! Na Rihanna anavaa wigi la nani?
 
Mawigi ni janga la Africa and all black ladies with naturally short hair. Nadhani ni kukosa kujiamini tu, na akili za kutamani uzungu ambao siyo nature yao, Binafsi namruhusu mke wangu afuge nywele zake azitengeneze kwa style atakayo but siku nikimuona na strange hair! Ugomvi huo hautaisha anarijua hilo ninashukuru mpaka sasa haja vunja makubaliano
 
Kama akili nywele na je,mwenye nywele za bandia au wig na akili zake vp? Ukute wig lngtoa harufu hamu ya papuchi inakata mara moja.
 
Yaaan mawigi yanawafanya muonekane wakubwa mmekomaa yaan kama watu wazima kumbe
 
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...

Teh ! Teh ! Teh ! Teh ! Teh ! Acha nicheke kigazeti teh! Teh! Teh! Teh
Umenichekesha
 

Hivi kumbe hizi hazikuwa nywelw zako ?

 
Kwa iyo ukivaa unajiona Rihanna mwenyewe! Na Rihanna anavaa wigi la nani?

Ya kaisari namuachia kaisari yaani ni kama nyie mnavyopandisha misuli mfanane na van diesel, yeye kwani anafanana na nani?
Mawigi hoyeeeee mtoto wa kiswazi mie.blue pink njano red mixer zote.
 
Hii ni ishara kuwa mwanamke....ni mchafu na hajipendi.....
Kama mwanamke unajua namna ya kutunza nywele zako na zikawa za kuvutia kuna sababu gani ya wewe kuzificha na mawigi......

Nywele nyingine zina gubuuu..
Nihangaike na kupass nywele kila siku wakati wigi LA 8000 kariakoo lipo.
 
didnt know brothers are on a mission.....
Brothers play smarter. *** boys opt for such strategies. Basically, I was helping out the defendants. Too bad I forgot my sarcasm has no fonts. I got to speak straight with these great thinkers from now on.
 
sasa mkuu unakuta mtu ana kichwa kama jiwe lakusugulia miguu afu nywele kipilipili zile nyekundu kama mshabiki wa simba unataka afanyaje ili kuziba hiyo ambayo kwake anaona aibu na anataka kwenda na wakat....
 
Hapana msimu wa joto huu nimenyoa kipara ngoto na chogo langu.

Hahaha atoto nimepiga ukunga huku, juzi kati Nimefumua nikaenda zangu kupunguza nywele kidogo ili nizilock. Sio kwa kule kupunyuliwa yani nilimsonya yule kinyozi kimoyomoyo maana sio kwa chogo hili mzee wangu alilonipa khaa. No dreads no kusuka mweee nikaogopa kuvaa wigi Isije nikageuka afu lenyewe likabaki tu straight uwiiii ii. Daddy Kaboom nimekugawa leo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…