Wanawake acheni hii tabia ya kutopendana siyo nzuri

Unasema kitu kidogo kwa sababu hajawahi kufanya hivyo nawe ukiwemo ndio maana.
Unajua kitu kinaweza kunitokea nikakiona cha kawaida sana ila mwingine ataona ni bonge la tatizo.

Hivyo tunatofautiana sana.
 
Ahahahaaaaaa hivi ni nini lakini heaven,
Nipo hapa najaribu kuvaa uhusika wa mke wa mtu ambaye mumewe anatoa maamuz pasipo kumshirikisha hayo ni madharau alafu mume anajiona yupo sahihi kabisa.
Teh nimeishia tu kujipatia picha. Wanaume wanajikutaga wana huruma sana na wanawake wasowahusu, afu moyoni unakuta ashamtamani
 
Vibao vya nini wakati nimeuliza. Hapo kinachotakiwa ni kunyoosha tu maneno na kunielewesha nipate kuelewa.
Ninyooshe maelezo? Jipu utakalopewa ni kwamba hilo suala tutaliongea tukiwa nyumbani.
 
Wanawake ni viumbe wa aina yake Mungu alituletea. Yataka moyo kuishi nao.
Mimi nilikumbana na kali ya 2017 baada ya kumalizia nyumba yangu nikapata mpangaji anataka 2 rooms katika nyumba ya 4 rooms. Sasa kabla niliwapa watoto wa katani secondary school waishi wakiangalia na mazingira na alikuwa anawajua vema hao mabinti wawili ambao waliomba kuishi hapi 2 years ago wakitulindia na nyumba. Mmoja akamaliza shule 2016 akabaki mmoja. Sasa nilipotaka kupangisha nikaona huyu binti nisimfukuze cuz anamalizia tu mwaka huu form four yake, nikamwambia kuta unatumia chumba cha masta cuz mimi na mke wangu hatuishi huko huwa tunaenda sana sana december tu xmass. Nikamwambia binti weka godoro lako hapa umalizie shule uende salama. Basi mama mwenye nyumba alipokuja kujua ilikuwa balaa. Mimi hata huko sipo basi mradi kelele tu.
Wanawake ni shida, kuna time unaweza sema nisingeoa tu
 
Kwakweli tupo tofauti
Hata mimi ninawivu sana huo uvumilivu wa kuisubiria tufike home nisingekuwanao angetafuta parking hapo hapo barabarani tuzungumze vizuri
Muda wa kupaki gari na kuanza mazungumzo ningeutoa wapi kwanza?

Ingebidi uvumilie mpaka home vingenevyo ungekuwa unataka mengine yatokee.
 
Ahahahaaaaaa hivi ni nini lakini heaven,
Nipo hapa najaribu kuvaa uhusika wa mke wa mtu ambaye mumewe anatoa maamuz pasipo kumshirikisha hayo ni madharau alafu mume anajiona yupo sahihi kabisa.
Siyo dharau hata kidogo sema ni maamuzi magumu tu..Ney!

Utamaindi kama hilo gari ulichangia kama haujachangia ni bora tu ukae kimya uangalie movie inaendaje hata kama hauipendi.
 
Punguza wivu Ney.

Si kapewa lift tu hakuna kingine zaidi?
Sio kirahis hivyo kama unavyofikiria,
Narudia tena mwambie Mungu asanteh maana amekupa mke mzuri, mwanamke anayevumilia ujinga wako kwa kununa aiseeh hongera wengine bila kuongea sukari itashuka [emoji26],sasa ya nini kupata maradhi ya kujitakia mie ntakupa ukweli wako utajua mwenyewe na balaah lako.
 
Wanawake ni viumbe wa aina yake Mungu alituletea. Yataka moyo kuishi nao.
Mimi nilikumbana na kali ya 2017 baada ya kumalizia nyumba yangu nikapata mpangaji anataka 2 rooms katika nyumba ya 4 rooms. Sasa kabla niliwapa watoto wa katani secondary school waishi wakiangalia na mazingira na alikuwa anawajua vema hao mabinti wawili ambao waliomba kuishi hapi 2 years ago wakitulindia na nyumba. Mmoja akamaliza shule 2016 akabaki mmoja. Sasa nilipotaka kupangisha nikaona huyu binti nisimfukuze cuz anamalizia tu mwaka huu form four yake, nikamwambia kuta unatumia chumba cha masta cuz mimi na mke wangu hatuishi huko huwa tunaenda sana sana december tu xmass. Nikamwambia binti weka godoro lako hapa umalizie shule uende salama. Basi mama mwenye nyumba alipokuja kujua ilikuwa balaa. Mimi hata huko sipo basi mradi kelele tu.
Wanawake ni shida, kuna time unaweza sema nisingeoa tu
Hatari sana Mkuu.

Inahitaji akili nyingi sana kukaa nao.
 
Sio kirahis hivyo kama unavyofikiria,
Narudia tena mwambie Mungu asanteh maana amekupa mke mzuri, mwanamke anayevumilia ujinga wako kwa kununa aiseeh hongera wengine bila kuongea sukari itashuka [emoji26],sasa ya nini kupata maradhi ya kujitakia mie ntakupa ukweli wako utajua mwenyewe na balaah lako.
Hahahahh...

Sema mnapenda kelele nyingi tu nyie hamna lolote.
 
Sio kitu cha kuzungumza taratibu yaan wanabalaa hawa wanaume, hapo wanajitetea eti huwa wanasaidia pasipo kuangalia jinsia hamna lolote
Kweli wanaume hatuna roho mbaya kama za kwenu.

Hata mwanamke mwenzako akikuomba msaada unazingua na unaenda kumtangaza.
 
Back
Top Bottom