Invisible
Robot
- Feb 26, 2006
- 16,285
- 8,464
Wow,Mimi humu kinachonishangaza yani ukiwa upande wa pili usio wao unashambuliwa na payroll za RA wao ukiwapeleka kwa staili hiyo hiyo utasikia marefarii anavunja sheria za JF afungiwe etc.
Na hapohapo Invisible anakufungia au sio?
We're so unfair I may say!...
LAKINI: Kuna watu kazi yao ni kulalamika tu, wanaweza kulalamika kuwa kuna topic flani ni mbaya... Hawakupi link ya topic hiyo... Wanaweza kulalamika kuna mtu anawa-attack personally, wanaogopa hata kumtaja... Wanaweza kudai topic zao walizoanzisha zimefutwa... Hata kuangalia kama kulikuwa na topic yenye mwelekeo huo au kutumia search button hawataki... Inakuwa ngumu kuwahudumia, ngumu sana I may say. Si rahisi kumfurahisha kila mtu.
JF = Jamii Forums (Think of it!) And not FORUM... And it's for JAMII!
BTW: Nawashukuru wana JF kwa namna tunavyozidi kuwa na wanachama wanaojisajili. Per day, wanajisajili (walau) 35. Hii ni sasa ambapo bado hatujajitangaza, tutajitangaza soon kwenye vyombo vya nyumbani.
Premium Members, tafadhali kuna ujumbe wenu VIP forum.