Wanavyosema kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
Invisible
Kuna umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kufungia watu/kublock posts ambazo zinakosa MASHIKO.

hahaha kweli nimeamini post moja ya mdau alieandika kuhusu 'marefarii aka vibaraka' wanaopigaga kelele watu wablockiwe
 
i have no problems with this forum,i just wanted answers thats all. THANKS FOR YOUR CONTRIBUTIONS AND TOPIC CLOSED.AU REVOIR
 
Mjumbe hauawi! anachosema Yessir yeye kasikia mahala watu wanaisema vibaya JF. La msingi hapa ni sisi kama wana JF kujiangalia je hayo yanayosemekana kusemwa yan ukweli wowote? badala ya kumvamia mzima mzima mjumbe na kumtiwsha majina mbalimbali.

Binafsi naamini hayo yanyosemwa huko vipembeni hayana ukweli na kama ilivyosemwa na wachangiaji kabla hapa so called mwanakijiji ni only one member na mawazo yake yanakuwa challenged na baadhi na supported na baadhi.
 
hahaha kweli nimeamini post moja ya mdau alieandika kuhusu 'marefarii aka vibaraka' wanaopigaga kelele watu wablockiwe
USHAURI
Maisha ya kawaida tunayoishi hayana tofauti na maisah yetu hapa JF.
Tofauti yetu hapa ni kwamba:
1.Hatuonani uso kwa uso, tukashake hands na kufahamiana kwa sura.
2.Majina yetu ni Pseudo.

Lakini ndugu yangu principles nyingine za maisha zinabaki palepale.

Kama umeamua kuishi kwenye mtaa wetu/kijiji chetu, JF, basi jua kwamba heshima utayopata hapa, inategemea na interactions zako hapa via Post zako na wengine.

Watu watakujeshimu au kukudharau kutokana na Post zako.
Kuna wakulu wengine humu, tunawaheshimu kutokana na post zao.

Post zinaeleza mambo mengi, kama unajua kusoma katikati ya mistari.

Post zinaonyesha yafuatayo:
1.Umri wa Mtu
2.Elimu ya Mtu
3.Uvumilivu wa Mtu
4.Uzoefu
4.Nakadhalika

Ndugu yangu twende taratibu.Kama nimekukosea nisamehe.
 
gademu..!! Mkandara nimecheka hapa sina hamu... hivi wanawadharau sana watu waliomo humu? Kwamba nikiondoka mimi ndiyo JF itakuwa 'safi'! Gademu Rostam....you ain't gonna stop eh.. (don't ask me I just had to say his name just to piss some people off)!!

Mkjj, Wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu, haondoki mtu hapa mpaka kieleweke! Tutapambana na mapapa mafisadi, viongozi mafisadi, chama cha mafisadi na watetezi wake pamoja na mamluki wanaopandikizwa JF kila kukicha mpaka tushinde vita hii. Haiwezekani kamwe kuwaachia mafisadi waisambaratishe nchi yetu kwa ufisadi wao.

Alutta Continua!
 
wewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!

mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu

Bandika vielelezo na viambatanisho sio kusema M.MKJJ amesutwa na kusemwa kuwa ni mtoto wa fisadi. Damn I hate these propagandas.
 
JF kwenyewe tunakuwaga na rumous mbalimbali, hivyo halishangazi kuona pia yenyewe inatetwa na hao.
Mzee MJJ anafanya kitu kwa uwezo wake sanasana kuhusu mapambano ya kifisadi na kama binadamu hawezi kumridhisha kila mtu, lazima kuna wengine watakuwa na hisia toauti juu yake. Kama mtu husemwi ujue hujakamilika ati!.
Raha ya rumous ni kwamba mtu unakuwa unapeleka maneno kule na huku ili aonekane mwema kote japokuwa anaweza kuharibu vilevile.

Karibu JF,ukiendelea kuwepo utajua na kusikia mengi halafu upate conclusion mwanana!..
 
Samahani, una maanisha inawezekana amepeleka maneno kule kwamba jamaa wanasema nyie ni mafisadi? Ulimaanisha nini hapa
 
Umeanza vizuri lakini kumalizia mmmh, kwani jamaa anapeleka wapi? hamkutaka kusikia watu wanasemaje kuhusu JF? mbona hapa huwa mnajadili hata BLOG ya UTAMU na Michuzi, kuna watu wanafikiri JF ni untouchable? wacheni watu waseme jamani na tuwasikie...
 
Samahani, una maanisha inawezekana amepeleka maneno kule kwamba jamaa wanasema nyie ni mafisadi? Ulimaanisha nini hapa

Mkuu Mbalawata!
Kwanza rumous au niseme tetesi, ni kwamba mtu unapata taarifa fulani huna uhakika nayo hivyo unaipeleka/wasilisha upande mwingine kupata undani au kama kuna ukweli halafu ukipata habari zaidi unaweza kurudisha upande ule ule uliokuwa umeanzisha hizi tetesi kuwa yeye ameonaje/amesikiaje au pia mwenyewe kupata uhakika.

Halafu post ya kwanza imeelezea jamaa kapata tetesi gani na kuja kuwakilisha kwa kutujulisha kama ni kweli tujirekebishe.Ndiyo nilivyoelewa.
 
Umeanza vizuri lakini kumalizia mmmh, kwani jamaa anapeleka wapi? hamkutaka kusikia watu wanasemaje kuhusu JF? mbona hapa huwa mnajadili hata BLOG ya UTAMU na Michuzi, kuna watu wanafikiri JF ni untouchable? wacheni watu waseme jamani na tuwasikie...

Inawezekana hujanielewa lakini sijapinga tetesi maana hata hapa tumekuwa nazo nyingi. Yes hapa tumejadili hizo zote mbili,kila mtu alitoa mtazamo wake.
Ndo maana nimemwambie huyo mkuu akaribie halafu atajua vizuri maana naamini ni member mpya.
JF is not perfect,kuna mapungufu yake pia kama vilivyo vitu vingine. Na mtu kutoa mawazo yake inapendeza maana yanaweza kuimarisha au kuziba ufa fulani kama umejionesha.
 
Umeanza vizuri lakini kumalizia mmmh, kwani jamaa anapeleka wapi? hamkutaka kusikia watu wanasemaje kuhusu JF? mbona hapa huwa mnajadili hata BLOG ya UTAMU na Michuzi, kuna watu wanafikiri JF ni untouchable? wacheni watu waseme jamani na tuwasikie...
wewe ni wale wale
 
My Bellies
Thanks you have nailed it hard. Kila kitu huanza na rumors aka tetesi baadaye kweli hujulikana..uzuri wa JF si lazima ukubaliane na mtu ama kikundi fulani.....ama wale wanaolazimisha hoja zao hata kama ni viroja!

MasaBe
 
Mkubwa;

Dah! Sijui niseme tu nifungiwe humu?????? Dah! Duh!

Nyani Ngabu ebu mmalize huyu!. Tatizo la hizi Blog ni kuwa watoto na wazee wanajumuika pamoja ba kubadilishana mawazo, sasa watoto huwa hawachelewi kujionyesha kwa ufinyu wa mawazo yao!.

Just gimme a little bit more time...I need to size him/her up...gauge his/her temp...before I nuke him/her out
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom