Wanavyosema kuhusu JF

Status
Not open for further replies.
wewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!

mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu

kwa hiyo baada ya kusutwa kwenye michuzi na wewe umejaribu kuja kumsuta JF kazi unayo....

hapa JF watu wanatoa mawazo yao na kama huyapendi unaruhusiwa kutoa hoja kwa nini huyapendi, hamna mambo ya zidumu fikra za fulani
ungesema tu mwanakijiji KACHEMSHA tungekuwelewa unamaanisha nini...

ONYO: tafadhali hapa ni mahali pa kutoa/kubadilishana mawazo, kupigania haki na sio mahali pa kusutana....
 
Mimi humu kinachonishangaza yani ukiwa upande wa pili usio wao unashambuliwa na payroll za RA wao ukiwapeleka kwa staili hiyo hiyo utasikia marefarii anavunja sheria za JF afungiwe etc.

Wapeni watu uhuru wa mawazo ,kinachoendelea humu sometimes ni VIRTUAL COLONIZATION ya kwamba lazima uwe upande wetu ? utafikiri memba humu wengine ni wanyama waendeo marishoni yani ya kwamba lazima wafuate njia aipandayo bwana wao

Afterall who is RA ?tumewashindwa MAFISADI wa KWELI waliopanga madili eti tunakuja kukurupuka na RA.
Kwa pesa za EPA na zinginezo role ya RA inafanana kabisa na ya Balali ma BACKBONE wa dili twawafahamu nao wa fahamu kumshitaki RA ni kumwonea maana wezi ni wao.

Hivi wewe ikitumwa kuondowa moshi unaowasumbua utaenda kuzima moshi ama utaenda kuzima moto.
kwa mtazamo wangu WANASIASA wote wanaojidai eti wanafanya mapiganio ya mustakibali wa Taifa ni wanafiki ni wazushi ,wanavyo vielelezo vyote wameshindwa kuvipeleka Mahakamani ama wameshindwa kwenda kushitakia ktk umoja wa mataifa kwanini hawaendi kushitakia kwa sababu kufanya hivyo HAWATAKUWA na HOJA MAJUKWAANI.

100% na hiyo tabia ya kukwepesha point za watu kwa kuwarushia mafisadi ikome kinachomatter ni kutetea hoja, huyu alichosema sio msimamo wake katoa taarifa juu ya yale yanayosemwa, point ni je kuna ukweli ndani ya hizi tetesi? isije kuwa nu kweli na kuna watu wako kwenye PAYROLL ya mwanakijiji ndio mnataka kupundisha pindisha....
 
hey wewe,ukishafahamu source then usaidiwaje.. utawafata au ni nini hasa?
raha ya mlevi ni kubwabwaja
wacha kutukipu bize watu tuna ishu za maana kujadili humu.
endeleza mipasho labda utakuja kutoa albamu siku moja shekhe.
 
wewe webiro sijui,yani unadhani rostam ana muda wa kukaa hapa jamii forums na ku pose as yessir na ana kazi ngumu ya kulitumikia taifa na igunga. GIVE ME A BREAK
Ina maana unawatumikia watu wa IGUNGA now kwa kuleta hoja zao hapa JF?

Uliwasiliana lini na RA akakuambia kuwa hana muda wa kupitia JF?

Baba hili ni shamba lingine na si shamba la mafisadi. Humu kila memba anakuwa akauntabo na anachopost. Ndo maana tunasisitiziwa kuwa na sources za ishu zetu au la mods wanaiweka kwenye threads za jokes na ucheshi
 
raha ya mlevi ni kubwabwaja
wacha kutukipu bize watu tuna ishu za maana kujadili humu.
endeleza mipasho labda utakuja kutoa albamu siku moja shekhe.

nitakutumia copy mwanangu..signed na autograph
 
Ina maana unawatumikia watu wa IGUNGA now kwa kuleta hoja zao hapa JF?

Uliwasiliana lini na RA akakuambia kuwa hana muda wa kupitia JF?

Baba hili ni shamba lingine na si shamba la mafisadi. Humu kila memba anakuwa akauntabo na anachopost. Ndo maana tunasisitiziwa kuwa na sources za ishu zetu au la mods wanaiweka kwenye threads za jokes na ucheshi

dont speak on behalf of people speak for yourself.. wewe ndio unasisitiza
 
100% na hiyo tabia ya kukwepesha point za watu kwa kuwarushia mafisadi ikome kinachomatter ni kutetea hoja, huyu alichosema sio msimamo wake katoa taarifa juu ya yale yanayosemwa, point ni je kuna ukweli ndani ya hizi tetesi? isije kuwa nu kweli na kuna watu wako kwenye PAYROLL ya mwanakijiji ndio mnataka kupundisha pindisha....

ndugu yangu mi nimeshapata majibu mengi sana humu ndani..
 
dont speak on behalf of people speak for yourself.. wewe ndio unasisitiza
hebu rudia post hiyo hapo chini......

What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round

Je hayo ni mawazo yako??????
 
Juzi nimeona wanaongelea kuhusu mitandao ya habari kwa njia ya internet kwamba wanafanya mikakati ya kuifunga. pia wakadai baadhiya wamiliki wa mitandao hii ya habari kwa njia ya internet hapa tanzania wako Nje - yaani ulaya na Marekani.
 
Let them talk/speak/shout,

Hamna cha kushangaza mbona tena ndio vizuri kama wameanza kuona ingawa najua wameona wanaelemewa sasa misumari imekuwa ya moto sana. Unaelewa siku zote mapinduzi ya kimaendeleo hayawezi kuwepo bila ya kuwa na watu kama waliomo humu ndani ya JF licha ya kwamba tunapinga ila linapofika kwenye issue ya maslahi ya taifa try us. Msimuone MKKJ pekee yake hii ni issue ya JF nzima nikiwemo na mimi maana ndio wajumbe wa bodi hii. Jamani, mimi kwa ukweli mpk kujiunga JF ni sababu nilikuwa nakubaliana na mambo mengi ambayo yalikuwa yakinigusa na kuona matokeo yake, licha ya kwamba kuna mengine nilikuwa nayaona kama yapo kushoto lakini kiukweli nasema JF imesaidia sana hata kama hamuoni impact yake basi mimi ndio nawaeleza ipo tena kubwa sana na ndio maana sasa hivi wanahaha kufanya kila njia kusambaratisha waandishi wa habari na forum zote zinazowaanika ila wanashindwa.

Na mimi kama mimi sitaacha kuona ujinga unaendelea nisihoji. Sasa hivi naringa sana hata mtaani maana ninajua nina jukwaa langu la kuongea na vizuri zaidi najua habari zinafika sasa kwanini nishangae wao kuongeea waache waongee mwisho watachoka, watalala
 
Mimi nilipata ajira kupitia posts za JF
faida ipo nyingi sana zaidi ya kuwakoma nyani giladi mafisadi. nakuunga mkono mkuu komamanga
 
Siwezi kuzingatia sana kwani wewe sio mwandishi wa habari. Ila ninachotaka kujua sio "they" ila ni "you". Wewe YESSIR unasemaje kuhusu hili? Maana fikra ndiyo inayomkomboa mtu na sio watu wanasemanini.
 
wewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!

mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu
Invisible
Kuna umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kufungia watu/kublock posts ambazo zinakosa MASHIKO.
 
Invisible
Kuna umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kufungia watu/kublock posts ambazo zinakosa MASHIKO.
mkuu
mara nyingine inabidi watu kama hawa wasifungiwe na robot ili kuweza kubalansisha jukwaa. kwani bila ujinga basi hekima haina thamani
 
Mimi nilipata ajira kupitia posts za JF
faida ipo nyingi sana zaidi ya kuwakoma nyani giladi mafisadi. nakuunga mkono mkuu komamanga

Ndugu yangu ukiruhusu tuseme faida za JF basi mimi nitasema NIMEKUTANA NA KAKA YANGU (SI TUMBO MOJA) TULIYEPOTEZANA MWAKA 2000 (8 YEARS).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom