Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,331
- Thread starter
-
- #81
Mh kivip unapiga mishe za mtaani baada ya saa tisa auHapana sipati per day , Kiufupi mimi sina familia niko tu mwenyewe 🤣🤣matumizi yangu ni madogo ,vile vile nafanya kazi usiku na mchana ...Kwa mwez naweza kupumzika siku 2 zilizobaki zote napiga kazi .
Sasa umiliki wallet unacho cha kuweka?? 😹Sijawahi kumiliki wallet, sio lazima.
Kataa hasa dolaUongo bhna hii umetupanga sana hapa
Mimi online tu ,niko online masaa 24 lakini sio maisha mazuri kwa vile ni deadly inside...Mh kivip unapiga mishe za mtaani baada ya saa tisa au
Nyie wote hamna pesa, hata card zenu za bank zinajaa kipindi cha boom sasa wallet ya kazi gani??Duh nikajua mimi ni mshamba au nakosea pahala
Umetokea wapi 🤣Sasa umiliki wallet unacho cha kuweka?? 😹
Sawa boss kubwa la kipareKataa hasa dola
Duh kwahiyo huwezi tembea bila walletBila wallet sijui ntaishije
Una wallet ina laki 3 halafu unapanda mwendokasi lazima uchomolewe, mkuu nunua gari..!! 😹walet sio nzuri ni shawahi kupoteza hela kwenye wallet sita sahau nahisi ilidondoka au ilichomolewa 300000/= zilienda
Inakuingiza pesa ndio maana muhimu kwakoMimi online tu ,niko online masaa 24 lakini sio maisha mazuri kwa vile ni deadly inside...
Huna pesa 😹Yaani mali zote niweke sehemu moja ,sijawahi kuwa mpumbavu tangu nizaliwe..Siweki kitu kwenye wallet hata siku moja.
JidanganyeSawa boss kubwa la kipare
Maonesho tu kuwa tunayo na sisiNyie wote hamna pesa, hata card zenu za bank zinajaa kipindi cha boom sasa wallet ya kazi gani??
Nida na elfu 5 wallet ya kazi gani? 😹
Kipi?Jidanganye
Unatembea na mwamvuli kwenda nao wapi tena? Si tumekubliana wote humu tuna magari 😹😹😹Mimi mwamvuli nasahau Sana miamvuli balaa. Huwaga supendelei kutembea na mwamvuli kukiwa na mvua maana nasahaugi Sana.
Kuwa na wallet ni u GENTLEMAN 😊 ma gentleman wotee huwaga hawakosi wallet.
Cc. Tlaatlaah
Napoteza muda sina interest na maisha kabisa.Inakuingiza pesa ndio maana muhimu kwako
utapigwUna wallet ina laki 3 halafu unapanda mwendokasi lazima uchomolewe, mkuu nunua gari..!! 😹
Mbuyu unaanza kama mchicha.Sasa umiliki wallet unacho cha kuweka?? 😹
🤣🤣Nije nipoteza kadi ya kura ,kadi ya bima ,funguo ,vitambulisho na pesa kwa wakati mmoja..Huna pesa 😹