Wanaume: Zama zimebadilika

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,832
Reaction score
32,116
Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo.

Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke.

Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya wastani.

Dunia ya leo yenye shinny objects za kutosha, sahau kabisa kupata mwanamke atakaye vumilia ki IST chako na huku kuna wanaume wengine wanampigia miruzi na wana drive Range rover...

Achana na wanawake broo, tafuta intimacy kwenye purpose yako. Trust me that's one of the most intimate thing you can have as a human being.... Hakuna stability unayo weza kuipata kutoka kwa mwanamke kwa miaka hii, ambayo wanawake wana comparison Mchungu mzima, utaishiabkuimpress mtu asiye ridhika tu...

Kuna mzee mmoja alifiwa na mkewe, akaamua aoe millenia single mother ambaye alikuwa na mtoto nje, aisee yule mzee alikuwa ana mpa zawadi lukuki yule mwanamke, ila alipenda vikubwa zaid ya uwezo wa mwanaume, na mwanaume alikuwa wanazidi kupanda dau, utafikiri amerogwa.. Alikuwa ananunua katoni za nguo, vyakula vya kila aina, yule mwanamke alipenda kupata degree, na mzee akagharamikiabkila kitu, wakati yule mwanamke alikuwa ana kazi, yake.

Yaani baada ya yote hayo, bado nyumba ilikuwa haina utulivu, kila day vihoja, sisi kama majirani ilikuwa week ikipita bila kuitwa mkasuruhishe mgogoro, nasema ni kama miujiza.

Ndugu yangu mwanaume, zama zimebadilika, jali afya yako ya akili na mustakabali wa maisha yako binafsi, na watoto wako kama unao.. Achana na wanawake ndugu, utaishia kuchizika tu.

Nakumbuka familia kipindi tunakuwa, ilikuwa hata kama kuna ugomvi baina ya wanandoa hautakuja skia, ilikuwa wanayamaliza, upendo wa kweli na amani vikitawala. Wanawake hawakuwa malimbukeni wa mali, wali chukua ndoa kama kitengo nyeti ambacho no amount of money could ever buy it. Walijua kuwa familia ndo msingi bora wa jamii na koo iliyo imara... Ila leo people don't give a damn about family. Ndo maana unaona jamii ya watoto hasa wale wanafunzi walio trend wakisema wanawake walinde mabwana zao...

Ni hayo, tu ndugu zangu...

Mimi sio mgeni, jf nimekuwa humu toka kitambo. Nawatakia jpili njema na yenye baraka.
 
Sio kweli, hii mambo ya hela ni sisi wanaume tunaiharibu hii tasnia ya mahusiano, pesa ina nafasi ndogo tu kwenye mahusiano, mkifanya pesa ndio kila kitu basi tubadilishe neno hilo tutoe mahusiano tuweke biashara, yaani unatoa pesa ili upate K, wakati Kiuhalisia K inatolewa kwa upendo na inalindwa kwa wivu mkubwa
 
Kuna wasukuma guta Wana wake zao
Kuna wauza genge
Kuna hata wazoa taka

Kutulia ama kutotulia ni hulka ya mtu binafsi.
Tamaa na kujizuia sio Kila mtu anavyo.ila sio wote hawana misimamo.
Kama ingekuwa hivyo basi hakuna maskini angebaki na mpenzi ama mke.
Kuna watu Wana upendo wa kweli na misimamo hayo mengine yanatafutwa tu.

Hata nyie upande wenu pia mna hizo hulka,mkiona jimama linakutaka Lina Hela unaona mke wako takataka unamkimbia
Lakini wapo wanaume wanaojitambua hawawezi Fanya hivi.
 
Wewe uko Dunia ipi mkuu,haya unayotaekeza hapa ya kuwapa attention wanawake na kuwaona wao ni muhimu sana siyo ya sayari ya Dunia.,labda kama wewe unaishi sayari yako.
 
Mkuu;

Wewe ukitongozwa leo kesho hauanzi kuomba hela? Kwamba unataka tu upewe hela kesho kesho kutwa mtondogoo wewe unataka tu upewe hela mwanaume akupe hela tu yaan wewe unataka hela tu sio kingine akili yako inafocus kwenye hela ya mwanaume tu au wewe haupo hivyo hautaki hela?
 
Hata nyie upande wenu pia mna hizo hulka,mkiona jimama linakutaka Lina Hela unaona mke wako takataka unamkimbia
Lakini wapo wanaume wanaojitambua hawawezi Fanya hivi.
Mithali 31:10-31 SRUV

Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?

Maana thamani yake yapita thamani ya marijani. Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.

Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.

Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao. Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.

Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.

Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia. Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.

Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu. Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.

Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi. Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.

Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao. Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake. Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.

Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote. Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.

Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
 
Tamaa na kujizuia sio Kila mtu anavyo.ila sio wote hawana misimamo.
Kama ingekuwa hivyo basi hakuna maskini angebaki na mpenzi ama mke.
Kuna watu Wana upendo wa kweli na misimamo hayo mengine yanatafutwa tu.
1 Timotheo 2:9

“Vivyo hivyo wanawake na Wajipambe KWA MAVAZI YA KUJISITIRI, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;”
 
Wewe tena huyo jirani ukaenda kusuruhisha ugomvi???¿? hiiìii whagoshaaaa!!???
Ndio.. Ilikuwa ni kila week unaambiwa niongee na yule mwanamke kumweka sawa. Maana yule mzee alikuwa anaona mimi ni kama mtu mwenye hekima
 
Unaongea kujifurahisha? Nenda katsfute mke kwa hawa wanawake wa leo bila hela, useme una mapenzi ya kweli kama utapata
 
Usipokua na mwanamke utakua unamwagaje sasa au utajinunulia midoli yako kadhaa uwe unaimwagia utomvu?
Sijasema kuwa usiishi bila kufanya mapenzi, utajiongeza mwenyewe ila usiingie kwenye mahusiano ama ndoa kama uchumi wako unayumba yumba.
 
Msibishe, hoja iko maridhawa, hali ya mambo ya kimahusiano ya kimapenzi na kindoa imebadilika. Siku hizi mwendo ni hela tu, huna hela hutapata mbunye ya bure. Mbunye ziko za kila aina na gharama zake tofauti. Ziko mbunye mpaka za milioni moja, laki, elfu hamsini, thelathini, ishirini, elfu kumi, elfu tano, buku mbili, buku moja hadi jero, za bure hakuna. Inategemeana we mwenyewe ni wa hadhi gani na unataka mwanamke wa status gani. Kuna wanawake wa makasino, pub/grocery, baa, vilabu vya mataptapu/pombe za kienyeji, machangudoa, baamedi, makahaba ya madanguroni na saluni za kike, wa uchochoroni, mapagarani, barabarani na vichakani kote huko mbunye ni za kununu hakuna ya bure. Bajeti yako ndiyo itaamua upate mwanamke wa aina gani, pisi kali au pollygon, au mshangazi njaa, au mke wa mtu. Nyape zimekuwa ni bidhaa ghali hata ukioa utagharamia tu kuipata kwa mkeo, usipotoa hela kwa mkeo utanuniwa, hutapewa na mgogoro wa ndoa huzuka na kushitakiana kisa tu mbunye hupewi.
 
Jimama linanitaka alafu lina hela?

Hii nayo kali, na ni nadra sana ukute mwanaume imemtokea yaani ni asilimia sawa na zero. Ila ukweli ndio huo... Mwanaume usipokuwa na maokoto unakuwa umerisk mahusiano yako any time soon mkeo kama mashalah jiandae kuchapiwa na wenye nazo tu
 
Wewe uko Dunia ipi mkuu,haya unayotaekeza hapa ya kuwapa attention wanawake na kuwaona wao ni muhimu sana siyo ya sayari ya Dunia.,labda kama wewe unaishi sayari yako.
Sija kuelewa ulitaka kutengeneza point ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…