Wanaume wote hii tabia marufuku mwaka 2018

Wanaume wote hii tabia marufuku mwaka 2018

Hakyanani huyu ni hanithi, mimi katika hali hii hata sauti huwa haitoki mpaka wazungu watoke. Kwa wakati huu hata condom huwa siikumbuki
 
HAHAHAHAH HUYU DOGO NI COMEDY.....HUU UBOYA WA HALI YA JUU HAPANA KWA KWELI......HUYU KAAMUA ATUCHEKESHE TU HAHAHAHA
 

Kwanza niwatakie heri ya krismas na mwaka mpya
Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka 2017 siku hii ya leo ningependa kuwataka Wanaume wenzangu wote wa jf na nje ya jf hii tabia aliyoonyesha huyu kijana iishie mwaka huu wa 2017 hatutaki huu ujinga tena mwaka 2018 maana huu ni uzembe sasa


Cc: beira baby boy

Sisi wanyamwezi mbona hizo fursa adimu kwetu kwann
 
Back
Top Bottom