Wanaume wote hii tabia marufuku mwaka 2018

Wanaume wote hii tabia marufuku mwaka 2018

Mijashoooo khaaaa!
Feni ipo..hauwez zuia mafuriko Kwa mkono.yan abdala kichwa wazi amesimama barabara anataka aingie muda huo alafu useme tukaoge kwanza .hatokuelewa.muda huo kichwa cha chini tu ndo kinafanya kaz
 
42d34b907ed64d6295e16d59fc6e19e4.jpg
hahahahaha
 
Mwananume ni mvivu, hataki kujihangaisha wala kujishughulisha...

Hataki kero... Ana nidhamu ya uwoga..


Cc: mahondaw
 

Kwanza niwatakie heri ya krismas na mwaka mpya
Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka 2017 siku hii ya leo ningependa kuwataka Wanaume wote wa jf na nje ya jf hii tabia aliyoonyesha huyu kijana iishie mwaka huu wa 2017 hatutaki huu ujinga tena mwaka 2018 maana huu ni uzembe sasa


Cc: beira baby boy

Hata KE pia we unataka dushe kaxi kujixungushazungusha tu. Sema uaaidiwe dudu. Hii Tabia mkome waka huu
 

Kwanza niwatakie heri ya krismas na mwaka mpya
Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka 2017 siku hii ya leo ningependa kuwataka Wanaume wote wa jf na nje ya jf hii tabia aliyoonyesha huyu kijana iishie mwaka huu wa 2017 hatutaki huu ujinga tena mwaka 2018 maana huu ni uzembe sasa


Cc: beira baby boy

Pumbavvvvv zake. Anastahili adhabu Kali sana
 
Back
Top Bottom