Wanaume wote hii tabia marufuku mwaka 2018

Wanaume wote hii tabia marufuku mwaka 2018

Anajitaftia kiki mtaani
Istoshe mtaan wanamsema sana
Kaona aingize kituu waache kumsemanga
 
Haha....hivi kuna mwanaume wa hivyo kweli?Kadada kanaonekana kamedhamilia kabisaa
 
Dah hzo chance huwa co za kupiga juu. Naona kijana kayumba sanaaa
 

Kwanza niwatakie heri ya krismas na mwaka mpya
Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka 2017 siku hii ya leo ningependa kuwataka Wanaume wote wa jf na nje ya jf hii tabia aliyoonyesha huyu kijana iishie mwaka huu wa 2017 hatutaki huu ujinga tena mwaka 2018 maana huu ni uzembe sasa


Cc: beira baby boy

Hahahaaaa bahat kama hz tunazitafta yeye analeta wenge.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji485] [emoji3] [emoji3] [emoji485] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji3] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sijapata ona uzembe huo aisee.
 
Alieangalia yote asaidie kutafasiri Nina Mb 15 tu
Jamaa kaingia magetoni na kidemu.
Enheee dem akasema anaskia joto!
enhee jamaa likawasha feni
demu kila akimuonyeshea jamaa madoido jamaa anakwepa anaenda kwenye tv kugusa gusa eti netwek ya startimes mbaya!
dem kila akimtaka jamaa kwa ukaribu jamaa anakwepa analeta visingizio kibao mara maji yameisha,mara mama yupo.
mambo tele ili asimkule mtoto na ameshampeleka hadi geto.
pole kuishiwa bando
 
Hahahahahahhaaa hao bado ni watoto sana sema hako kaschana kana nyegee hatari hahahahahaha hapo hako kavulana kangemfunua sketi na kumvua kyupiii weeh angeshangaa vurugu ambazo angefanyiwa na hako kaschana. Utasema anataka kuivunja kumbe ni ashikii tuu Hahahahahahahaa

I can see Kasie on her looh fujo fujo tuu.
 
Ahaaa kumbe hizo ndo pilikapilika? Ahaaa inamaana kijana angekubali fasta hakuna hata kuoga?

Mafisi wa jf bana kwahiyo mlitaka wakifika tuu aanze kumpalamia Mara ambilingite?

Kijana yupo sawa!
 
Ahaaa kumbe hizo ndo pilikapilika? Ahaaa inamaana kijana angekubali fasta hakuna hata kuoga?

Mafisi wa jf bana kwahiyo mlitaka wakifika tuu aanze kumpalamia Mara ambilingite?

Kijana yupo sawa!
Kuoga ya nini?mtaoga badae.cha kushtukiza kitamu kina mzuka wake
[emoji3] [emoji3]
 
hahahahaha!!!
huyo binti mvumilivu kweli
 
Back
Top Bottom