Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Hakuna maumivu makali kwa mwanaume kama yale ambayo umejiandaa/umempanga demu aje umtafune halafu anakuletea sababu zisizoeleweka kuwa hatatokea...thrn unamcheki kwenye simu hapatikani...dah maumivu yake hayaelezeki...kifua unaona kizito kinabana hasira zinajaa mpaka kwenye unyayo dadeki...ila nini mwamba , mahusiano na hawa viumbe yanahitaji mawasiliano...ukimsahau tu nae anakusahau...yule aliyekaribu nae siku zote ndie anaetunukiwa mbususu. Toka december mpk march unategemea anatunza tu genye zake kukusubiria ww??
Ungelegeza maneno kidogo🤭🤭🤭 makali sana.
 
Hakuna sehemu nimeandika nimem cheat mtu,experience nnayozungumzia ni kumpenda mtu kiasi kwamba,hata ukitaka kumcheat huwezi,yani unampenda mtu mpaka ukitongozwa na wanaume wengine unaona tu kama wanawake wenzio,kwanza unaona kumcheat ni dhambi,nasema tena ukiona mwanamke anakucheat HAKUPENDI,elewa hapo bwana mzabzab
Dah🤔 sometimes ukweli unauma Bora hata usijue ,Nini kinaendelea.
 
KANUNI MOJA YA MAHUSIANO IKIWA UNATAFUTA MWENZA AMBAE UNATAKA AJE KUWA MKEO.

"Kamwe usijaribu kulazimisha kuwa na mwanamke unayemshobokea wakati yeye hakushobokei"

Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na wewe ni yule ambae anafanya jitihada awe na wewe na si vinginevyo.ukiona mwanamke inapita siku hajakuuliza wala kukujulia hali mpaka wewe ndio umtafute jua kiwa huyo sio wako na utaitaabisha tu nafsi yako kwake
... Hata huyu alikuwa hivyo, haipiti siku bila calls au meseji nyingi but ndo hivyo.. maisha.
 
Ungelegeza maneno kidogo🤭🤭🤭 makali sana.
Ukweli mtamu ni ule ambao ni mchungu! Huwezi kuishi nao kwa akili mpaka yakukute matukio kama haya ambayo yatauunguza moyo wako.

Binafsi siku ya kwanza kujua kuwa demu ninaye date nae ana date na jamaa wangu wa karibu niliishiwa nguvu za miguu, nilitaka kusimama ila miguu inakosa nguvu, kifua kilijaa ghadhabu kiasi cha kutaka kupasuka kifupi niliiona dunia imejikunja na kuwa ndogo kwangu.

Tokea nilipopigwa tukip hilo , akili ikafunguka, trust na mapenzi ya 100% kwa hawa viumbe yakapotea. Nilitaka kumchukia huyo mwanamke for life ila nikaona hakuna haja ya kuweka chuki moyoni, nikamchululia kama malaya wengine tu.

Usimwamini mwanamke kwa asilimia zote na ishara ya kwanza kuwa hana interest na wewe utaigundua katika mawasiliano baina yenu.

Chase a check ,never chase a bitch
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Stori ndefuu alafu huna akili😂😂😂😂 yaani ushastukia mchezo si usikilize mafsi yako na madem kama hao ww kula mzigo muache aende akikuomba pesa kama unajiskia kisaidia mpe usipojiskia usimpe mwanaume unataka kuleta tabia za wadada hujiamini alafu huna maamuzi
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Hiyo 150000 ulimpa?
 
Sema nini mkuu..
Pitia ule uzi wa kwanini tamisemi wanachelewa kuita watu makazini, na ule uzi watu wanaoenda dodoma kwenye interview, huwenda alikutana na wadau huko🤣🤣
Ule uzi kila siku naupita tu na naona comments zinajaa, kumbe kuna mambo mule! Ngoja na mimi nizame nione kilichopo😂
 
Sikuisomaa ilaa Tatizo ni helaa aliyotoaaa Kifalaa alafu demu kiukwelii kaenda kugongwaa na jamaa mwingineee...!!
Hawa mademu sio wa kuwachukulia kwa u serious hata kidogo hawa ni kuwagonga tuu , hela unatoa pale unapokua na uhakika wa papuchi ..sio unatoa toa hela kifala
 
Mwite aje.
Ukiigusa tu mwambie...mbona umeliwa hivi karibuni?
Ukiwa siriaz balaa then mkazie usoni utaona anavyonyong'onyea.

Uso siku zote huongea ukweli.

Mbinu ya pili hii ni hatari acha nibaki nayo😂.

Tatu ungekuwa wa kike ningekupa mbinu ya kugundua kama umesalitiwa kweli😂
Fungukajamaa!!

Au ya ugoro puani na kuchuchumaa MEZANI!!!?
 
We jamaa bhana , inabid uingie top four sio
Ndio hivyo mwanawane. U can never be just the one kwa mwanamke. Hapa kila kidume anapambana angalu aingie top four acheze champions league.
Let no woman lie to u bro, they all have four guys they give their pussssy to. U just have to be among the four😜
Fear women i tell u!
 
And people meet in a very mysterious way, unquestionably it doesn't matter where you met her,

Don't listen to everything here,some people in this platform are insane

At the end it's you and your life, question first and according to the way you wrote your story I've realised that you are so jealous of your girl

Talk to her that you disliked what she did, if she do it again only then you can undoubtedly question
Common sense pls. Nothing good would ever come even if dude will think positively about this situation. She's a cu.nt, simply I can say she's a ho. giving her a call and not picking up the phone and also rejecting to go to the dude's house should be taken as warning before their relationship go abyss.
 
Back
Top Bottom