Nitakuelezea pembeni🤣Mkuu elezea.
Tupe 'mbwinu' hizo.Nitakuelezea pembeni🤣
Mbinu moja ndogo...atashusha mzigo mwepesi sana ( kimiminika chepesi)Tupe 'mbwinu' hizo.
Achana nae huyo. Hakufai ata kama mbususu hausiswi lakini hapana ni NO!Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Mweeeh!! Basi kiseme mafichoni.Mbinu moja ndogo...atashusha mzigo mwepesi sana ( kimiminika chepesi)
Ya pili kubwa ni hatari siisemi hadharani.
HahahaMweeeh!! Basi kiseme mafichoni.
Ni maamuzi tuSasa kama mwanaume hawezi kaa mwezi, na huyo mwanaume anatomber mwanamke huoni kuwa kuna contradiction hapo?
Alafu mwaka mzima bila kugegedwa itakuwa anatumia tango so that dnt count as mwaka bila kugegedwa maana anakuwa amejihegeda mwenyewe
Na kwa nini ukae mwaka bila kugegedwa? Una matatizo gani kama mwanamke?
Itakuwa de liboloz la mwisho lilikutenda sana.Ni maamuzi tu
Hakuna sehemu nimeandika nimem cheat mtu,experience nnayozungumzia ni kumpenda mtu kiasi kwamba,hata ukitaka kumcheat huwezi,yani unampenda mtu mpaka ukitongozwa na wanaume wengine unaona tu kama wanawake wenzio,kwanza unaona kumcheat ni dhambi,nasema tena ukiona mwanamke anakucheat HAKUPENDI,elewa hapo bwana mzabzabKumbe uliwahi kucheat wewe. Ebu tupe sababu ya kucheat. Na kwa nini uliruhisu kugegedwa na mtu usie mpenda?
Wanaume mnaodhani sex ndio maisha hamtanielewa.Sasa unakaaje bila kuliwa na wewe ni mwanamke mzuri? Mie mnanitia mashaka sana kuhusu uzuri wenu pale mnaposema mnakaa mwaka bila kugegedwa mjue![]()
Hawezi kukuelewa huyo. Watu wanaotaka kukulana kila dk hawaelewi hii kitu tunaishia kuitwa wagonjwa.Nabisha kuwa kukaa muda mrefu bila sex hakuna madhara, inawezekana miezi miwili ni michache sana watu wanaokaa hata miaka without doing it ila hii ni kwa wanawake tu,lkn wanaume hawezi,it's a nature.
Hakuna maumivu makali kwa mwanaume kama yale ambayo umejiandaa/umempanga demu aje umtafune halafu anakuletea sababu zisizoeleweka kuwa hatatokea...thrn unamcheki kwenye simu hapatikani...dah maumivu yake hayaelezeki...kifua unaona kizito kinabana hasira zinajaa mpaka kwenye unyayo dadeki...ila nini mwamba , mahusiano na hawa viumbe yanahitaji mawasiliano...ukimsahau tu nae anakusahau...yule aliyekaribu nae siku zote ndie anaetunukiwa mbususu. Toka december mpk march unategemea anatunza tu genye zake kukusubiria ww??Dah roho inauma mbaka kifua.. afu nimeona ni dharau ya karne yani atoke kule aje atombewe wilaya ambayo nipo!
Hawezi kukuelewa huyo. Watu wanaotaka kukulana kila dk hawaelewi hii kitu tunaishia kuitwa wagonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app



Mtu hana ndoa hana mpenzi unataka awe analiwa tu na yoyote kisa ana nyege? Mtu kama kajiamulia no ngono mpaka ampate huyo mwanaume/mume unashangaa kitu gani? Kwa nini mnaamini ngono ndio maisha? Ngono inaendekezwa sana ndio shida ipo hapo.Sasa kama mwanaume hawezi kaa mwezi, na huyo mwanaume anatomber mwanamke huoni kuwa kuna contradiction hapo?
Alafu mwaka mzima bila kugegedwa itakuwa anatumia tango so that dnt count as mwaka bila kugegedwa maana anakuwa amejihegeda mwenyewe
Na kwa nini ukae mwaka bila kugegedwa? Una matatizo gani kama mwanamke?
Okay kwa hiyo jamaa anafaidi tuu maana amependwaHakuna sehemu nimeandika nimem cheat mtu,experience nnayozungumzia ni kumpenda mtu kiasi kwamba,hata ukitaka kumcheat huwezi,yani unampenda mtu mpaka ukitongozwa na wanaume wengine unaona tu kama wanawake wenzio,kwanza unaona kumcheat ni dhambi,nasema tena ukiona mwanamke anakucheat HAKUPENDI,elewa hapo bwana mzabzab
Mwee ebu kwendraaaaaaa hukooo🤣🤣🤣🤣🤣Mtu hana ndoa hana mpenzi unataka awe analiwa tu na yoyote kisa ana nyege? Mtu kama kajiamulia no ngono mpaka ampate huyo mwanaume/mume unashangaa kitu gani? Kwa nini mnaamini ngono ndio maisha? Ngono inaendekezwa sana ndio shida ipo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app