Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Mwee ebu kwendraaaaaaa hukooo
Sasa ngono sio maisha toka lini? Empires have fallen becoz of ngono.
Wee mwenye mpaka kule kwa rikiboy ukatubless na kastoey katamu

Wee besty yangu na kwa harusi yako nitachangia million ila plz tusiseme maneno mbofu mbofu bwana kwani andunje na wewe mnatuzamanaga tuu
 
KANUNI MOJA YA MAHUSIANO IKIWA UNATAFUTA MWENZA AMBAE UNATAKA AJE KUWA MKEO.

"Kamwe usijaribu kulazimisha kuwa na mwanamke unayemshobokea wakati yeye hakushobokei"

Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na wewe ni yule ambae anafanya jitihada awe na wewe na si vinginevyo.ukiona mwanamke inapita siku hajakuuliza wala kukujulia hali mpaka wewe ndio umtafute jua kiwa huyo sio wako na utaitaabisha tu nafsi yako kwake
 
Yaan wewe ngoja nikuache. Haya twende tukasali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sehemu nimeandika nimem cheat mtu,experience nnayozungumzia ni kumpenda mtu kiasi kwamba,hata ukitaka kumcheat huwezi,yani unampenda mtu mpaka ukitongozwa na wanaume wengine unaona tu kama wanawake wenzio,kwanza unaona kumcheat ni dhambi,nasema tena ukiona mwanamke anakucheat HAKUPENDI,elewa hapo bwana mzabzab
Huu uongo mwanamke aliyeuingiza kichwani kwa wanaume apewe nishani maana wanaume wengi wanaamini hili.

MWANAMKE AKIZIDIWA NA NYEGE ANACHEAT TENA NA MTU WALA HAMFAHAMU NA WALA HANA MAPENZI NAYE. NYEGE ZIKISHAAMIA KICHWANI SI MWANAUME WALA MWANAMKE ANAYEFIKIRI KWA UFASAHA, AKILI HURUDI BAADA YA KUINGILIANA.
 
I find no wisdom in your writing, calling someone b**ch that tells a lot about you

Anyway it was my proposition it can be taken or discarded.
There is something more far dark in our brother story
Only extraordinary mind can question
Kisa ni binti kushindwa kwenda kufanya uzinzi nae ndo kosa kubwa right?? That's what the story is all about sasa sijui kama wewe ujaliona hilo
If it's right now tell me if you don't doubt it?
Whatever your judgement is, that girl is a bitch. What makes her stop texting when she is told to come home with her friend? Not picking calls at night only in the noon? And then after she finish what brought her in Dom she start finding him, what was the reason behind not answering any text calls before?

Because she wants to collect that 150k she was promised before. And that why she with text like you know I miss you and blah blah like that just to soften him for what she did.

Bro utachapiwa mpaka utaacha kuzungumza kingereza utuongelee kisukuma.
 
KANUNI MOJA YA MAHUSIANO IKIWA UNATAFUTA MWENZA AMBAE UNATAKA AJE KUWA MKEO.

"Kamwe usijaribu kulazimisha kuwa na mwanamke unayemshobokea wakati yeye hakushobokei"

Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na wewe ni yule ambae anafanya jitihada awe na wewe na si vinginevyo.ukiona mwanamke inapita siku hajakuuliza wala kukujulia hali mpaka wewe ndio umtafute jua kiwa huyo sio wako na utaitaabisha tu nafsi yako kwake
Hii ni point kwa kweli. Maana ata sie wanaume mwanamke mbaye humfeel huwezi jisumbua mtafuta mpaka akutafute yeye.
 
Whatever your judgement is, that girl is a bitch. What makes her stop texting when she is told to come home with her friend? Not picking calls at night only in the noon? And then after she finish what brought her in Dom she start finding him, what was the reason behind not answering any text calls before?

Because she wants to collect that 150k she was promised before. And that why she with text like you know I miss you and blah blah like that just to soften him for what she did.

Bro utachapiwa mpaka utaacha kuzungumza kingereza utuongelee kisukuma.
Duh! Hatari. Wazee mmetema yai kabisa kuweka emphasis. Sii mchezo.
Ila mwanawane sii ukweli kwamba kuchapiwa hakuepukiki kwa ulimwengu wa sasa
 
Huu ndio ukweli,wanaume eleweni hapa,ukiona mwanamke ame ku cheat hakupendi na Wala Hana hisia na wewe,na once akidhaku cheat hawezi kukupenda tena kama mwanzo Hilo sahau,ndio maana mnaambiwa mwanamke akikucheat kwa sababu yoyote Ile basi usiendelee kuishi naye hata kama kaomba msamaha maana hisia na moyo wake vipo kwa huyo jamaa anae cheat naye,na wanaume kumbukeni hili mwanamke anapenda kwa kitumia moyo/hisia so mpaka awe na hisia na mtu, except tu wale Malaya ambao wapo kazini akija mtu na dau lake anajipigia anasepa Hawa hawajali hisia coz wapo kazini wanachokiangalia zaidi ni pesa .
Lkn wanaume hupenda kwa kitumia AKILI zaidi kuliko hisia,thus why anaweza akacheat na kwenye familia yake akawa stable,yeye anaendeshwa na mihemko na tamaa,so once Ile tamaa ikiisha basi anamtema mtu anasepa kwa mkewe,hivi ndivyo ilivyo.
I'm speaking from experience.
I'm speaking from experience nn
Yani wewe ndo umevunja vunja kabsa moyo wangu 😭😭😭😭😭
 
Kijana, ukweli wote unaujua, na anachokifanya unakijua, unatambua hakupendi, na kwamba anakuchuna pochi. Hana mpango na wewe yote haya unajua.

Shida ya yako umejitia ujinga na upofu wa mapenzi moyoni kiasi kwamba hayo unayoyajua unadhani na kutamani yawe ni uongo wakati ndio ukweli wenyewe.

Siku zote jiamini na simamia ukweli, utafurahia maisha na hutojuta. Piga chini fasta, futa kichwani kwako, na kama hauwezi kumchana live kuwa atembee akafie mbele, fanya diplomasia ya kuacha na kuua mawasiliano nae taratibu. Akitext usijibu au unajibu mara 1 kwa siku. Akitaka kuja geto mwambie umesafiri.

Shida kubwa naiona kwako, kufuta huo ujinga wa mapenzi moyoni mwako ndio mtihani. Ila majibu yote unayo. Kazi ni kwako, POWER TO YOU.
Da bro kufuta sio Jambo la siku moja ndo tatizo ,
 
Back
Top Bottom