Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Sema kwa namna mlivyokutana we jilie vyako ila kuwa makini na vizinga, kumbuka kinga mkuu
Bro mbali na apo nilikuwa na mipango nae kede kede mingine bila yeye kujua. But since anze trip ya kurudi uku simu zinaita Kama young lunya mi nimeona nisionyeshe Nina njaa ya uchi nime cut off. Asije
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
I don't know buddy, i question your instincts what makes you feel she is cheating on you?

I myself have the most worst habit , i sometimes don't text especially when i'm traveling but as soon as I reach my destination i let people know,

I think good thing is what she did, to inform you of her arrival.
Don't take it too personal, it might be your weakness later on your insecurity
I advice you to think positive on this one
Just once else utakua wamtafutia sababu.
 
Kwenye hiyo 150k,,,toa 30000 tuu kajipongeze kwa k vant kubwa na Kitimoto rost kilo ½,,,na maji makubwa ya dew drop ya bariiidii!!!,,Nipasie namba za huyo binti kama hutojali??
Dah.. !!
 
I don't know buddy, i question your instincts what makes you feel she is cheating on you?

I myself have the most worst habit , i sometimes don't text especially when i'm traveling but as soon as I reach my destination i let people know,

I think good thing is what she did, to inform you of her arrival.
Don't take it too personal, it might be your weakness later on your insecurity
I advice you to think positive on this one
Just once else utakua wamtafutia sababu.
Bro ku think positive naweza je , bibie imekaaje asafiri na mwanamke mwenzake.. wafike niliko na ashindwe kuja kuniona ? Wakati ni watu wapenzi Tena mawasiliano ni ya muda wote? Kuthink kwamba alichoka na mwendo , kwamba anlshindwe kukodi boda nije nilipie nimle ndo akalale huko ni kujiandanganya binafsi
 
Tulia Mwamba unajikuta unajua kupenda sana na kujali sio .... Tafta hela hommie Kula mademu wakali sana...
Muda ukifka utaoa tu ... Usikurupuke kindezi utaoa LiMalaya kama Hilo liongo liongo utagongewa mpk ufe.
Copying, buddy.
 
And people meet in a very mysterious way, unquestionably it doesn't matter where you met her,

Don't listen to everything here,some people in this platform are insane

At the end it's you and your life, question first and according to the way you wrote your story I've realised that you are so jealous of your girl

Talk to her that you disliked what she did, if she do it again only then you can undoubtedly question
 
Back
Top Bottom