Wanaume wenzangu hii ikoje

Wanaume wenzangu hii ikoje

Endelea na. Mishe zako mkuu Wala asikusumbue.

Wala usimwaze

Mimi Kuna mmoja Niko nae hapa kati tulikuwa moto sana akaona Nampa sana attention akajiona matawi na Mimi si lolote akaanza leta mbwembwe.

Nimekula bati nilikuwa nime mute kutongoza miezi 3 nimeanza upya

Yeye daily ananitafuta mi Niko bize na mishe zangu nitamcheki mwezi mmoja baadae ila Incase atanicheki tena.

Otherwise nikama nimemtumpa kwenge dustbin kwa Muda.
Oya
 
Endelea na. Mishe zako mkuu Wala asikusumbue.

Wala usimwaze

Mimi Kuna mmoja Niko nae hapa kati tulikuwa moto sana akaona Nampa sana attention akajiona matawi na Mimi si lolote akaanza leta mbwembwe.

Nimekula bati nilikuwa nime mute kutongoza miezi 3 nimeanza upya

Yeye daily ananitafuta mi Niko bize na mishe zangu nitamcheki mwezi mmoja baadae ila Incase atanicheki tena.

Otherwise nikama nimemtumpa kwenge dustbin kwa Muda.
Apo umejifunza Nini mkuu, kumpotezea in mcomvisi awe interested na wewe.
 
Sikiliza wewe dogo.
Kubaliana na ukweli kuwa kabla yako kulikuwa na miamba inamkojoza.

Baada ya kukutana na wewe usifikiri wataachana overnight au papo hapo.

Wanawake wana tabia ya kupima mizania kwa muda mrefu...yuko nawe na miamba mingine pembeni huku akipima ni mwamba yupi yupo tayari kumbeba jumla.

Hakuna mwanamke yuko aido bila mtu akisubiri ndoa...wanaliwa kimya kinya.

Usipokubaliana na huu ukweli utakula sumu.

Pili mimi siyaamini mapenzi ya mbali Tanzania hii...kiidoogo mzungu ntamwamini lkn sio Mtanzania...hana msimamo wa kuusubiri ub.oo wako kamwe.
Kama wapo ni 0.001%..

Uzoefu ninao na hawa wadudu
Kwa hiyo mwanamke kama bado hujamuoa mnaweza mkawa kwenye mahusiano hata mwaka mmoja na hapo hapo kuna washikaji wengine kawapanga?
 
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.

Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"

Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"

Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"

Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"

But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12

Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"

Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..

Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani

Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .

Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .

Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
TUMIA CONDOM ..ni hilo Tu
 
I don't know buddy, i question your instincts what makes you feel she is cheating on you?

I myself have the most worst habit , i sometimes don't text especially when i'm traveling but as soon as I reach my destination i let people know,

I think good thing is what she did, to inform you of her arrival.
Don't take it too personal, it might be your weakness later on your insecurity
I advice you to think positive on this one
Just once else utakua wamtafutia sababu.
Eti,it might be your weakness later on your insecurity !!!! damnnnn🤖🤖

Pisi imemwagiwa ndani usiku mzima lodge imeenda dom kusambaziwa moto wa kuagana.
Then inakuja kwako kuwa imekumic

Me nashauri mle jicho muache.
 
Back
Top Bottom