Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Nina afroKwani ww huna kipara?
Nina afroKwani ww huna kipara?
Hapa hata ambao hawaoti nywele kutokana na majeraha ya ki- Scorpion watasema wana vipara...tehtehHatimae kipara changu kimenitoa kimasomaso, kimekumbukwa na chenyewe.
Leo nimenyoa kiparaNatafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuwapata ni ngumu washakua dealNatafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara
Ninao . karibuNipo hapaa
Hahahahaha..........mkuu mbona unaniblast namna hii bila hata hurumaHapa hata ambao hawaoti nywele kutokana na majeraha ya ki- Scorpion watasema wana vipara...tehteh
karibu japo nina umri mdogo ila upara umeniwahi mpaka najistukia kumbe ni diliNatafuta marafiki wa kuchat nao wawe na upara